CR7?Kuliko babu ausio
Angalia usije kulewa na wewe 4: 2 π€ͺMashabiki walevi wa England wamepagawa
Bafanabafana wana radhi za watu wa Afrika.Jamaa ana roho mbaya bafana bafana
Hawatamsahu
So walipanda ndege na laanaπBafanabafana wana radhi za watu wa Afrika.
Acha waonewe na wafungwe goli nyingi tu
NdioCR7?
Yule ilibidi arudishe namba tokea 2022 ubishi wake na uroho wa madarakaNdio
Ukisepa nao unapata kesi ya wiziHivi mpira ukienda kwa mashabiki ruksa kusepa nao kama cricket?
Yeah. Worthy the wait.Fulltime
Eng 4 vs Croatia 2
What a spectacular game it was
Kuna mlevi wa England ajiandae jela. Nimemuona kaukumbatiaUkisepa nao unapata kesi ya wizi
Hakika mkuuYeah. Worthy the wait.
Mie nalala aiseeSasa mlale.. saa 8 imo tena ππ
Kulala unalalia hapo pembeni ya Tv ππββοΈπββοΈMie nalala aisee
Tulale wapi wakati jua linawaka, tunangojea mechi ya Ghana.Sasa mlale.. saa 8 imo tena ππ
π π π nomaaKulala unalalia hapo pembeni ya Tv ππββοΈπββοΈ