2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kuna haja ya TZ kufanya jitahada za makusudi kupeleka wachezaji nje kupata exposure ya kutosha. Nchi zote za Africa zinazojitahidi players karibu wote wamezaliwa/wanacheza nje. Wachezaji wanaocheza kila siku na Mashujaa au Ihefu FC hawawezi compete at the highest level.
 
Sisi mtu akicheza Yanga Simba na Azam inatosha.
 
Hili wadau wameshalitambua, naamini watalitendea kazi.
 
Hata tuzaliwe kwa kina Messi na Ronaldo hakuna maajabu kama unafiki wa timu ukifanikiwa sifa zinaenda pahala flani..kakikundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…