2026 FIFA World Cup - Special Thread

Wote tunaipenda Senegal na tuliishangilia kwa pamoja kwenye Afcon.

Lakini lazima tukubali kuwa ukweli hautegemeani na mahaba yetu yanavyotupelekesha.

Ni timu nzuri ila kosa kubwa ni kukutana na France.

Na hii ni warm up tu, vipigo vizito viko huko mbeleni.

Sasa mwenye bahati mbaya ajichanganye.
 
Chumaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…