2026 FIFA World Cup - Special Thread

Cape Verde wanazingua na kuniangusha shabiki yao
Wanapoteza Mpira kizembe Sana

Kitu cha Kwanza inabidi wafanye juu chini kwenye kumiliki Mpira Kwanza
Then counter attack wanahitaji wachezaji Wenye speed

Hapo wanaweza kupata Sare kama walivyofanya Japan Jana
Ila wakiendelea hivi watapigwa tatu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…