Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,917
- 141,786
Upo uwanjani ?Dah!
Hawa mashabiki wa Curaçao wamefurahi kinoma!
I felt their energy! Mpaka nami nimewashangilia 😂.
Curacao hawajakaa kinyonge kumbe lol!
Hawakutegemea hata hilo mojaDah!
Hawa mashabiki wa Curaçao wamefurahi kinoma!
I felt their energy! Mpaka nami nimewashangilia 😂.
Nao sio kizembe kumbe kurudisha mapema tu dahhhUko na Curacao? Wewe ni jasiri
Hapana ila nipo hapa hapa Houston nimekuja kumcheki mshikaji.Upo uwanjani ?
Tulio nyumbani mnatutesa huku na mechi zenu hizo hata kulala kwa tabu mechi usiku mzito ha haHapana ila nipo hapa hapa Houston nimekuja kumcheki mshikaji.
Mimi nitakuwepo Mercedes Benz stadium kesho…..
Sijapendezwa wala nini...
Dah!! Hapana aisee