2026 FIFA World Cup - Special Thread

Ni mojawapo ya madhara ya kuona faida pekee bila kuangalia hasara.
 
Sio Vinni tu Hawa Brazil mpira hamna kabisa, wanacheza mpira wa kizamani sana.
Anceloti hana mbinu yoyote na mpira wake wa mbio ngoja huko mbeleni wakutane na madogo janja Spain uone watakavyopigiwa ball.
Spain mnawa hype sana wazee yani sijui kwakuwa yupo Lamine au nini ila ngoja mi nitakuwa na hate watch siku hiyo
 
Mvivu sana hapendi kupress ila Morocco nao wazuri.
Kalivyo poteza pasi kakaingiwa wazimu kakaanza heka heka za kujibidiisha ili ku retrieve mpira lakini wapi.

Ubinafsi unekajaa sana. Nataka nione namna Morinho ataweza kui fix hii tabia pale Bernabeu
 
Hatimaye nimetoboa buana. Nimeangalia hadi mwisho. Sasa nikalale masaa mawili ili nikasinzie vizuri kazini... kazi zingine jau, hamna cha jumamosi wala jumapili πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna haja ya Kubadilisha aina ya kazi mkuu, maana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Kalivyo poteza pasi kakaingiwa wazimu kakaanza heka heka za kujibidiisha ili ku retrieve mpira lakini wapi.

Ubinafsi unekajaa sana. Nataka nione namna Morinho ataweza kui fix hii tabia pale Bernabeu

Mou atawanyooosha. Niliposikia tu Mou anakuja nikasema mchezo umeisha. Mou's ego is bigger than vini and mbappe combined.
 
Spain mnawa hype sana wazee yani sijui kwakuwa yupo Lamine au nini ila ngoja mi nitakuwa na hate watch siku hiyo
Sio Yamal mkuu ni mpira wanaopiga zile pass ukichanganya na makeke ya Yamal ndo kabisa na huku pembeni umkute olmo ni πŸ”₯.Nakumbuka EURO sikuangalia sana niliangalia Ile game yao vs Germany tena dakika ya 90 ball lililokuwa linapigwq mule ni kama orgasm πŸ˜„
Hapo hapo nikatoa nikamwambia mshikaji ili Spain wanabeba kama unabisha weka mzigo asipobeba Spain chukua hela , hela niliichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…