Taifa lake la asili ni Algeria ??au nimechanganyaNamuona Zizou kwenye benchi
ni AlgeriaTaifa lake la asili ni Algeria ??au nimechanganya
Tanzania ta viwanda mama hajafungua nchi hukoTanescoππ
Kiasili sijui ni wawa wapi.Taifa lake la asili ni Algeria ??au nimechanganya
πKweli wenzetu mpira upo kwenye DNA
Haishangazi kuwaza kwanini Mugabe alikuwa tayari kupeleka mabinti wa nchi yake Brazil ili wakapewe mimba warudi Afrika wazae watoto ili kizazi kijacho kuwe na vipaji kama Brazil
Lakini hapa ni kama mzee aliwaza kwa kuangalia angle moja. Aliona nafasi ya mwanaume kurithisha vinasaba kwa mtoto.
Hakuwaza maybe ingewezekana pia mtoto angechukua tabia za mama badala ya kuwa mchezaji mpira kama alivyotarajia, mtoto angekuja kuwa mwizi?