Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,715
- 10,244
"UKIWA MWENYEKITI NA RAIS UNAKUWA NA NGUVU KWELIKWELI" By MSOGA'S VOICE.
Katibu wa chama anateuliwa nani?
Nani huwa anaandaa fomu za wagombea?
2025 hakuna nyau zaidi ya Samia.
Dawa nikutenganisha kofia za Urais na Uenyeviti kwa vyama vyote vya siasa.Heshima yademokrasia nakuonyana itakuwepo.
Pia hata maji kwenye glas yatanyweka.
On long run hii ni hatari sanaaa
Jua kabisa mwenyeketi wa chama atakuwa na nguvu sana kuliko raisi wan nchi.
Na ikitokea kuna kupishana kwa mawazo hapo ndo tutashuhudia kura za kutokuwa na iman na raisi.
Kwa sasa tuendelee hivyo hivyo mpaka mambo yakitulia