2025 - 2030: Spika wa Bunge apewe Mzanzibar kwa mara ya kwanza

The Khoisan

Platinum Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
18,206
Reaction score
17,359
Haya ni mawazo yangu tu.

Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.

Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.

Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.

Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.

Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.

Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.

Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.

Ushauri wa bure.

No Reform No Election.
 
Angalia hiyo heading ndio utajua ulivyokurupuka. Huo mwaka dunia itakuwa imeshakuwa kitongoji sio kijiji tena.
 
Kwa anachotufanyia mzanzibar mwenzenu tunaomba msituingilie tena
 
Hakuna haja ya kupewa mkuu, minaona wachukue tu hadi praimu minista...🙄
 
Haya ni mawazo yangu tu.

Zanzibar bado haijawahibkutoa Spika wa Bunge.

Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi.

Tulia hapo alipofikia sasa tayari anafikiria top job.
Ushauri wa bure.
Naunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.

P
 
Haya ni mawazo yangu tu.

Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.

Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.

Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.

Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.

Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.

Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.

Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.

Ushauri wa bure.

No Reform No Election.
Mkuu, angalia Inbox huko, kuna tusi nimekutumia
 
Huko Zanzibar Kuna mtanganyika aliwahi Kuwa hâta mjumbe wa nyumba kumi? Huu muungano ni utapeli WA kunufaisha wazanzibar kunyonya Tanganyika
 
Naunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.

P
Hâta la 2030 Kwan Huko Zanzibar Kuna mtanganyika aliwahi Kuwa hâta diwani? Kwann wao wawe viongozi huku
 
Haya ni mawazo yangu tu.

Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.

Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.

Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.

Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.

Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.

Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.

Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.

Ushauri wa bure.

No Reform No Election.
Huyu mlie mpa urais ame fanya nini zaidi ya kuwapa wajomba zake rasilimali zetu.
Na huyo spika ana kwenda kumuongoza nani kwenye bunge la Tanganyika, wakati wazanzibari wako wachache ndani ya bunge letu.
Pendekeza pua Mtanganyika akawe spika wa baraza la wakilishi.
Acha ndoto za kutawaliwa.
 
Issue ni contributions za kuendesha gharama za bunge nani hulipa zaidi Tanganyika au Zanzibar?

Pili kwa nini wabunge wa Zanzibar hukaa bungeni kujadili mambo ya wizara zisizo za muungano na kuwekwa kwenye kamati? Ilitakiwa wahudhurie tu vikao.vya bunge vya mambo ya wizara za muungano na kuondoka kurudi Zanzibar

Spika anatakiwa kutoka sehemu changia pesa nyingi za uendeshaji bunge

Pili wabunge wa Zanzibar hawatakuwi kutoa spika sababu mambo ya muungano machache anakaa kama mambo mengi ya wizara za Tanganyika zisizo za muungano zikijadiliwa? Hata watoe naibu Spika anaakaaje kukiwa na hoja nyingi za wizara nyingi zisizo za muungano?

Wazanzibari msituchokoze watanganyika msidhani hatujui hiki kizazi sio kizazi cha Nyerere na Karume

CCM imesema mchakato wa katiba utakamikilika 2025 hadi 30 subirini uishe msichokoze pweza aliyelala
 
Haya ni mawazo yangu tu.

Zanzibar wameshatoa Marais wawili; AHM na sasa Samia.

Zanzibar waneshatoa Mskamu wa Rais; Karume, Jumbe, Mwinyi, Shrine, Bilali ba Samia.

Zanzibar ishatoa Waziri mkuu; Salim Ahamed Salim.

Zanzibar ilishayoa Jaji Mkuu; Augustin Ramadhani.

Zanzibar bado haijawahibkutoa Dpika wa Bunge.

Kwa vile CCM wana mtindo wa kufanya mambo kivyaovyao. Sasa ni muda sahihi wa kuwapa Wazanzibar hii nasadi adimu ya Uspika baada ya Uchafuzi Mkuu 2025 ili amlinde Maza vizuri zaidi. Kama Maza hana huo mpango badi ajiandae kwa kipindi kigumu cha maisha yake ndani ya hii miaka 5.

Tulia hapo alipofikia sasa tayari snafikiria top job. Na yeye kuipata hatafanikiwa kuwa kwenye boat moja na Maza. Hivyonitabidi aanze kujitengenezea njia yake bila kumtegemea Maza smvsye hatakuwa maarufu by 2030.

Ushauri wa bure.

No Reform No Election.
Halafu kama tunasema ni muungano kuna sababu gani zakulazimisha lazima ku balance upande badala yakuangalia wanaofaa? Kuna nyakati tunakosa watubsahihi kwakua tunataka lazima mtu atoke Tanganyika au Zanzibar ?kwanini watu wasichagukiwe based na uwezo wao sio pahala pa asili yao kama Wazenji wana sifa waongoze Rais na makamanu na waziri mkuu na vivyo havyo Kwawatamganyika

No reform No Election
 
Unaota mkuu. Tanzania hii Rais ni habari nyingine. Kama huamini kamuulize Ndugai "Job"of Kongwa.
 
Halafu kama tunasema ni muungano kuna sababu gani zakulazimisha lazima ku balance upande badala yakuangalia wanaofaa? Kuna nyakati tunakosa watubsahihi kwakua tunataka lazima mtu atoke Tanganyika au Zanzibar ?kwanini watu wasichagukiwe based na uwezo wao sio pahala pa asili yao kama Wazenji wana sifa waongoze Rais na makamanu na waziri mkuu na vivyo havyo Kwawatamganyika

No reform No Election
Kwani hata huo muungano lazima uwepo. Mbona Shelisheli, Angola, Zambia nk,,,, hawana muungano na mambo yanaenda murua tu. Tunachoshana bure tu.
 
Naunga mkono hoja, ila iwe ni bunge la 2030, bunge la 2025 lazima Tulia aendelee kuwa spika ili asiupoteze urais wa mabunge ya dunia hii.

P

Tatizo Tulia mawazo yake yako kwenye Urais wa Tanzania. Kwa jinsi Maza anavyozidi kuwa unpopular, kuendelea kumbeba bungeni ni kujimaliza kisiasa na kujipunguzia nafasi ya kukubalika 2030. Mzanzibar atamsaidia Maza kupitisha agenda zake kirahisi zaidi.
 
Back
Top Bottom