2024 Ulishiriki dhambi hii?

2024 Ulishiriki dhambi hii?

Ni vile tu nina watoto wadogo vinginevyo mtu unaweza ukakufuru,
Then watakuja na kejeli zao wamepata ushindi wa kishindo
 
Walioshiriki dhambi hiyo wapo maofisini wanakula mema ya nchi na kupandishwa vyeo
 
Ni vile tu nina watoto wadogo vinginevyo mtu unaweza ukakufuru,
Then watakuja na kejeli zao wamepata ushindi wa kishindo
😃Kwani walijinasibu vipi mwaka Jana ? Tumeshinda kwa kishindo
 
Amani ni tunda la haki No Reforms No Election
 
Back
Top Bottom