Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
Dr Janabi anasema tule nyama na wewe unasema tusileTunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.
Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya mazoezi oga vaa vizuri hata kama huendi popote,
kula vyakula vya asili, epuka nyama, jisomee majarida na vitabu vyenye kufunza mambo mema
pata siku za mapumziko na mazoezi.
Punguza/acha ngono
Punguza/acha vilevi vyote
Tumia muda mwingi kuwa pekee na sehemu tulivu
Fanya Ibada kwa imani yako
Haya ndiyo maisha yako PEKEE. Fanya unachoweza kupenda na kufurahia kila kipengele chake.hakuna kusubiri zaidi.
Kuwa mtu ambaye umewahi kutamani kutaka kuwa. Hii haitakuwa kama siku zingine, wakati huu utabadilika, utashikamana na mazoea, utazoea na utaona matokeo.
Ninakuamini... Nakuombea..
View attachment 2846759
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kuacha kabisa.Sisi wapiga nyeto una neno gani la kutuambia.
Mshana ili jambo ni la kuacha/kupunguza.Sisi wapiga nyeto una neno gani la kutuambia.
Sio amri au sheria ni ushauri tuu... Hivyo bado una uamuzi binafsi bila shurutiDr Janabi anasema tule nyama na wewe unasema tusile
Sio amri au sheria ni ushauri tuu... Hivyo bado una uamuzi binafsi bila shurutiDr Janabi anasema tule nyama na wewe unasema tusile
Pepo wachafu mojawapo ya chakula chao pendwa sana ni manii.. Unapojichua automatically unakuwa mateka na mlishi wa hayo mapepoSisi wapiga nyeto una neno gani la kutuambia.
Mshana ili jambo ni la kuacha/kupunguza.
Ndo maana mnarogwa nakulalamika. Mimi nilisharogwa 2007 Arusha kwa kufululiza kula nyama kila siku.Naqubali 😃
Siwezi pitisha siku sijala nyama
Wamasai wana magonjwa? Maana nyama ndio chakula chao cha asili
Wanaugua kama wengine tu na wanakufa sana tuuWamasai wana magonjwa? Maana nyama ndio chakula chao cha asili
Kwa sababu ya nyama?
Kwa sababu ya nyama?
Na haiwezekaniKuepuka nyama ni kipengele kizito sana
Kivipi mkuu