2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

'Punguza/acha ngono'... Mkuu hiki kipengele ungelikielezea chenyewe kama somo ama thread yenye kujitegemea.

Kusema juu juu tu 'acha nyama, acha ngono' bila maelezo ya kukazia hautaeleweka sawa sawa hasa kwa watu wanaofuatilia hekima zako.
Kuna mada zake tayari labda niweke link zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuombea rafiki mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na je sisi tunaotumia simu na pc kama darasa? Mfano, kusikiliza "mafundisho" mbalimbali - spiritual and secular, kumsomea vitabu vilivyo kwenye mfumo wa soft copy, kujifunza namna bora ya kilimo na ufugaji, n.k.
Hapo ni matumizi kwa ajili ya kupata maarifa bado sio shida ila lazima kuzingatia kiwango chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri murua na uliojaa hekima, ila hofu yangu wenye kuuzingatia ni wenye hekima tu na ni wachache!
 
Kiroho ina shida gani?! Nyama nyekundu au mpk nyeupe?!

Sababu za vegetarians kutokula nyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, nitajuaje kiwango?

Mimi hufanya hivyo mara nyingi baada ya kutoka kazini, au nikiwa kwenye chombo cha usafiri ikiwa dereva si mimi.
Ukiwa kwenye usafiri sio tatizo, lakini ufikapo nyumbani
Kuna muda wa familia
Kuna muda wa mlo
Kuna baadhi hata wakati wa chakula simu iko mkononi
Kuna muda wa kupumzika na kupumzisha akili
Kuna muda wa kukaa na mwandani wako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa ukumbusho huu, naamini Mungu atanisimamia kwa yote uloandika hapa. Aamiin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…