2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

Kuepuka nyama ni kipengele kizito sana
Kwa sie wabongo, wa low middle class, hii haituhusu, maana ulaji wetu wa nyama,ni kiduchu Sana,
Hii sheria imetungwa na wazungu kwa mustakabali wao, wao wanapiga nyama, kila siku kwenye kila mlo, sie huku nyama, mnaulizana, hv tumekula lini vile! Nyama ni jumapili tu, au siku kuu!
 
Sio kwel huko moshi nyama zinaliwa ovyo tu mpaka mboza za majani zinaonekana anasa.
 
Sasa Nini maana ya kula BataπŸ™„πŸ™„
Hapo kwenye kupunguza kwichikwichiβš’οΈπŸ˜œ
 
'Punguza/acha ngono'... Mkuu hiki kipengele ungelikielezea chenyewe kama somo ama thread yenye kujitegemea.

Kusema juu juu tu 'acha nyama, acha ngono' bila maelezo ya kukazia hautaeleweka sawa sawa hasa kwa watu wanaofuatilia hekima zako.
 
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…