2024 Jitenge: Somo kwa watiifu

Hakia, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Sometimes huwa nawaza great people, Wana similar feature nyingi.
👉Nime kuwa niki jitafakari sana, na kuona baadhi ya udhaifu wangu.

Kisha nika hitimisha ili nwe yule ninae mtaka, basi lazima niji katae mimi.
👉We think somehow alike bro Mshana Jr, nili taka kuandika Uzi wa namna hii- une niwahi😀. Mshana Jr
 
Asante sana, na iwe ikawe kama utushaurivyo, mafanikio yawe kwetu sote.
 
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji1548][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Epuka nyama", kwani nyama ina shida gani mkuu?
Nyama hasa nyekundu sio nzuri kiroho maranyingi hutumika ku initiate roho/maroho, jaribu kufuatilia wanaotoka asili za wafugaji na watu wa maeneo mengine kama pwani utajifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…