2023 Naendelea kujichukulia sheria mkononi sina namna nyingine

Azoge Ze Blind Baga

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
366
1,378
Tangu nimeachana na mchepuko wangu mwaka jana sikutaka tena masuala ya mahusiano nimejipa muda

Nikawa najichukulia sheria mkononi maisha yakasonga.

Ila hadi leo hii tar 1/1/2023 sioni dalili ya kuwa kwenye mahusiano

Hivyo naona niendelee kwanza kujichukulia sheria mkononi hadi pale mambo yatakapokua sawa.

Heri ya mwaka mpya.
255757174368_status_b7b071fe9c9740529900f6ed020567a5.jpg


Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom