2023 haikuwa riziki yangu hata kidogo

Aisee acha tu huu mwaka uishe kwa kweli haukuwa mwaka wangu hata kidogo naumaliza kwa huzuni na masikitiko ningekua na uwezo leo ningejipa pole kwa bia mbili 3 nipunguze machungu..... huu mwaka umenipiga kitukizito kila upande

kiuchumi
huu mwaka nimerudi nyuma hatua 10 naumaliza nikiwa broke pamoja na madeni kila kona

kibiashara
Nimetapeliwa sijui ndo kuibiwa na hawa wanaogiza vitu china siji kurudia nimepata somo aisee,

kimahusiano
kivumbiii japo hapanipi shida muda upo sina haraka.

2023 haujataka nipumue hata kidogo🥲🥲

Achievements kubwa kwa Mwaka 2023 ni kuwa hai na afya namshukuru Mungu kwa hili.

HONGERENI KWA KUMALIZA MWAKA SALAMA NAWATAKIA HERI NA BARAKA TELE ZA 2024
kumshukuru mungu kwa kukujaalia uhai na afya njema umefanya vzr
 
ndugu yangu ndugu yangu ndugu yangu
huu mwaka nina uchungu, maumivu na hasira plus madeni kwenye mipango tangu haijatimia ata 1
sijui nipitishe kapu la mchango
Extrovert Glenn Ngalikihinja KENZY Watu8 njooni mnichangie nilipe madeni. 😀😀😀

all in all tutajaribu tena 2024
Amehlo unapenda kunichokoza asante lakini.
Kwangu sio muda mwafaka kusema lolote
 
Aisee acha tu huu mwaka uishe kwa kweli haukuwa mwaka wangu hata kidogo naumaliza kwa huzuni na masikitiko ningekua na uwezo leo ningejipa pole kwa bia mbili 3 nipunguze machungu..... huu mwaka umenipiga kitukizito kila upande

Kiuchumi
huu mwaka nimerudi nyuma hatua 10 naumaliza nikiwa broke pamoja na madeni kila kona

Kibiashara
Nimetapeliwa sijui ndo kuibiwa na hawa wanaogiza vitu china siji kurudia nimepata somo aisee,

Kimahusiano
kivumbiii japo hapanipi shida muda upo sina haraka.

2023 haujataka nipumue hata kidogo🥲🥲

Achievements kubwa kwa Mwaka 2023 ni kuwa hai na afya namshukuru Mungu kwa hili.

HONGERENI KWA KUMALIZA MWAKA SALAMA NAWATAKIA HERI NA BARAKA TELE ZA 2024 🥂
Kila jambo hupangwa na Mungu. Kilichotokea kwako chukulia ni sehemu tu ya mapito ya Dunia ambayo imejaa mambo mengi mazuri na mabaya .
Please relax super woman
 
Halafu tunaowaaminigi ndio wanaotua gushaga ujue?
Ujue ni madharau ehee? Mimi naona ni madharau, mtu anaona kama anakumudu yan. Siwazagi upande wa kukosa, et kukosa? Wakati unaazima si ulikuwa unajua plans za kurudisha? Zimekwama, naww kopa kwa wenzako umrudishie huyu. Uendelee kujitafuta.

Amenisikitisha mno, nikimfikiriaga mpk tumbo linakata 🥹
Tukiwaambia wacheze vicoba, wanatuona wapori pori
 
Huwa na Nia ya kutapeli tu....ila Mtu kama huyo nzuri sana kajipa ticket ya bye bye siku nyingine haleti miguu yake kueleza shida zake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom