that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 352
- 1,138
Aisee acha tu huu mwaka uishe kwa kweli haukuwa mwaka wangu hata kidogo naumaliza kwa huzuni na masikitiko ningekua na uwezo leo ningejipa pole kwa bia mbili 3 nipunguze machungu. Huu mwaka umenipiga kitukizito kila upande.
Kiuchumi
Huu mwaka nimerudi nyuma hatua 10 naumaliza nikiwa broke pamoja na madeni kila kona.
Kibiashara
Nimetapeliwa sijui ndo kuibiwa na hawa wanaogiza vitu china siji kurudia nimepata somo aisee.
Kimahusiano
kivumbiii japo hapanipi shida muda upo sina haraka.
2023 haujataka nipumue hata kidogo🥲🥲
Achievements kubwa kwa Mwaka 2023 ni kuwa hai na afya namshukuru Mungu kwa hili.
HONGERENI KWA KUMALIZA MWAKA SALAMA NAWATAKIA HERI NA BARAKA TELE ZA 2024 🥂