Mechi kama hii inanikumbusha Nusu Fainali ya UCL, mechibya marudiano kati ya Barcelona ya Pep Vs Inter Milan ya Mourinho, dk ya 14 Inter wanapata red card, imagine kucheza pungufu Nou Camp kwa dk 90
Hata ikuwekwa game saizi Aboubakar vs Peter Banda naamini kabisa Aboubakar nje. Leo ndio safina ya Cameroon inazama, hakuna timu pale kabda ibebwe kwa mbeleko.