Hawa cameroon mechi waliyocheza bila janjajanja ni moja tu, nyingine zote unaona kabisa wanauwezo wa kawaida tu, hâta hii mechi bila redcard ilikuwa ni mechi ngumu sana.
Uzuri wa Comoros hawabutui, wanapiga pasi fupi fupi kuanzia kwa golikipa wao, kitu ambacho kimewafanya Cameroon wastruggle kutengeneza nafasi za kufunga!!
Madogo wako vizuri.wanajiamini na wanajitahidi kusogea mbele sema bado hawajajua namna ya kuziba pengo la mtu mmoja.Wangekua wametimia mechi ingekua nzuri sana.
Ila kwenye maisha omba uzaliwe na bahati, imagine Choupo Moting ameshacheza, Stoke City, PSG na Bayern Munich yaani pamoja na kucheza huko kote mimi sioni anachokicheza hapa Cameroon
Hizi kadi nyekundu karibu kila mechi maanake nini tena hii mechi ya Cameroon na Comoros refa ameitoa mapema kabisa hadi kamaliza kabisa ladha ya mpira.