Hivi Tanzania Tulikuwa Tunapambana Kuja Huku ili Mfungaji wetu awe Bocco? Au Beki awe Kibwana Shomary
au Kiungo Awe Feisal Toto? Bora hata hatukuja
Simba Iliwadanganya hadi Timu ya Taifa Kuwa Wangeweza Kupambana na Waarabu, Wa Nigeria
Simba Mungu Anawaonaaaa Kuwaaminisha wenzenu Ujinga