ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Tuongelee game ya mda huu kwanzaHivi Tanzania Tulikuwa Tunapambana Kuja Huku ili Mfungaji wetu awe Bocco? Au Beki awe Kibwana Shomary [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] au Kiungo Awe Feisal Toto? Bora hata hatukuja
Simba Iliwadanganya hadi Timu ya Taifa Kuwa Wangeweza Kupambana na Waarabu, Wa Nigeria [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Simba Mungu Anawaonaaaa Kuwaaminisha wenzenu Ujinga
Ili akuridhishe wewe?kocha ingiza Banda
Tuongelee game ya mda huu kwanza
Malawi wanakera na hizi butua butua zao.
Naangalia mpira hadi nasinzia.... Hauna ladha...
Wanakosea sana. Halafu ni wafupi sasa obviously mipira ya juu hawezi kupata.Malawi wanazingua aseee mpira gani huu wa butua butua
Naangalia mpira hadi nasinzia.... Hauna ladha...
NdiyoIli akuridhishe wewe?
Hii Game Mkuu inatakiwa uwe na Kamnyweso kidogo