utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Kasi ya Dr Magufuli kutatua kero za watanzania, kutumbua majipu yalikuwa yanafaidi keki ya taifa peke yao, kuendelea kuboresha miundombinu ya usafiri, kuziba mianya ya uvujaji wa rasilimali za nchi pamoja kurudisha nidhamu katika utumishi wa umma ni baadhi tu ya makubwa aliyokwisha ifanyia Nchi yake mzalendo huyu.
Ni mwaka mmoja na ushee hivi sasa tangu aikamate Ikulu lakini kazi yake ni sawa na wale waliozeekea mle. Tuendelee kumuunga mkono na sio siri tena kwamba kwa hali hii come 2020 wapinzani kwa ujumla wao wanaweza wapate wabunge wasiozidi 9.
Tutaona.