2020 Uchumi wetu Tunauzika Rasmi

2020 Uchumi wetu Tunauzika Rasmi

Ulichokiandika mleta Uzi ni sahihi kabisa 100% .mazuzu na makamongo wanajifanya hawaoni hali ilivyo mtaani ,biashara kufungwa ,mbwembwe za makusanyo hakuna siku hizi .mazao yanayoleta fedha za kigeni Jiwe kaua biashara mbaazi na korosho ,halafu makamongo wanakwambia toa ushahidi uchumi umekua kwa 4% .
 
Mkuu Jiwe akikupa atatoa maagizo uandaliwe vizuri kwaajili ya supu asubuhi ili apunguze hasira maana kukuchomoa roho kisha utupwe ni hasara.
Akisoma huu uzi ninaimani lazima aite panadol huku kashikilia kuchwa.
Sikia tu kufeli kwa watu lakini isikukute huku ulishawaaminisha watu kuwa wewe ndio mkombozi alfa na omega Nchi imepata mkombozi mtetezi wa wanyonge.
Watangulizi wako wametulia pembeni wanakuangalia tu unavyodanga kama mbwa koko na hakuna kinachosoge, yani kila kitu kimekununia mpaka mbuzi.
Jamaa kakusanya kodi kwa bunduki lakini wapi, katuma wafanyabiashara wakomeshwe na TRA kwa kubambikiwa makisa wapi?? Bombadier zinanuka damu ya Tundu Lisu hazitaingiza mia mpaka zioze. Iko siku jamaa ataoga maji ya magadi kuondoa mkosi.
 
Hata mradi wa stiglaz goji nao hauna faida yoyote in short run had uwe rashed kutekelezwa ndio maana mkataba wake ni siri it means ni kuna harufu mbaya humo.Ukisoma bajeti ya nishati kuna miradi mingi ya maporomoko ya maji inayoweza ipa nchi megawat zaidi ya 5000 na ina gharama nafuu na pili inaweza kukamilika ndani ya mda mfupi kuliko kuhangaika na stiglaz na kuharibu hifadhi
magufuli akili zake anazijua mwenyewe, by the way,hivi wanaccm wenzake wanamteua hakujiuliza ni kitu gani kilimsukuma kufunga taa za barabarani chato?
 
Hivi mnalipwa kiasi gani kuichafua nchi yenu?? Hamna hata maombi kuuombea huu uchumi badala yake ni kuiombea ifilisike!!! Mnatia huzuni kweli kweli. Mnadhani leo huo uchumi ukiporomoka wewe utakuwa wapi??
Ninamuamini kamanda wetu. Ni dereva mathubuti, ameenda Sauzi akatupatia ajira. Kila msomi aliyesoma Kiswahili, nenda ubalozi wa SA ukajiandikishe. Nenda ubalozi wa Namibia, Msumbiji na Zimbabwe. Haya milango ya kutokea hiyooooo wazi kabisa. Acha kupiga majungu humu jf nenda Sauzi.
Tumetangaziwa na viongozi wetu kuwa katika EAC sisi ndo tunaongoza kwa uchumi unaokuwa fast tukifuatiwa na Kenya. Wewe usiye na data unatuambia ati uchumi utaparaganyika ikifikia 2020. Lini? Mwezi? Siku??? No data no right to write.
Hatuogopeshwi na ninyi viranja wa mabeberu. Tumewatimua na hamtapata nafasi kamwe.
Huyu kamanda unae Muamuni bahati mbaya ndo anatupoteza
 
Katika yote niliyoandika ukaona going concern tuu,mbona miradi ya gas ya Mtwara haipendelei au huko going concern haihusiki?
Mkuu ni dhambi kujadili hilo?! Ndiyo uhalisia wa mambo mwisho wa awamu moja ni mwanzo wa awamu inayofuata. Tukifikiria in discrete kama Nchi tumekwisha!
 
Huyu kamanda unae Muamuni bahati mbaya ndo anatupoteza
Usiogope mawimbi bahari ndio asili yake. Wavuvi hatupasui ngalawa kwa kuyaogopa mawimbi. Hakuna mvuvi ajuaye kilimo sasa tuende wapi na hapa ndo nyumbani kwetu. Tutabanana hapa hapa
 
Were sinuous umeandika mini mamas hujui uchumi hats sentiment vinginevyo no propaganda least wasiojua. Sinuous kaka unaelewa kit unachoongelea.
Hii lugha iliyoandikwa hapo ilitumika zamani enzi za mfalme Huihui na Bulicheka....
Darasa la saba linatutosha!!!
 
Hivi mkuu niulize, ile miti yote itakokatwa inakuwa Mali ya nani?. Ya Serikali au ya mjenzi mwenye mkataba?
Aaah Mkuu huo UCHUMI WENYEWE HAUNA HAJA NA SISI WALA SISI HATUNA HAJA NAO!!!
 
Usiogope mawimbi bahari ndio asili yake. Wavuvi hatupasui ngalawa kwa kuyaogopa mawimbi. Hakuna mvuvi ajuaye kilimo sasa tuende wapi na hapa ndo nyumbani kwetu. Tutabanana hapa hapa
Hapa kazi tu-inaua uchumi-Please note:watanzania asilimia kubwa si masikini kwa kuwa hawafanyi kazi,bali ni masikini kutokana na sera mbovu za ccm-moja wapo ni export ban-haina tija kwa mkulima,mfanyabiashara wala Taifa,bali kwa ccm maana watu wakipata uwezo wa kipesa,watatembea na kuiona dunia,baada ya kuiona dunia ccm itaanzaje kuwadanganya?ccm ikishindwa kuwadanganya hizo kura za kujaziliwa zitatoka wapi?
 
Back
Top Bottom