2020 Uchumi wetu Tunauzika Rasmi

2020 Uchumi wetu Tunauzika Rasmi

Tatizo lako hasa wewe nini . Una uchungu na nchi . Au unataka kusema Mbowe ana uchungu na nchi kuliko JPM. Mbona wote hapa JFM mnaandika kama mna PHD ya majibu yote ya maisha.
Kama umeshaona uchumi utakufa so why write? Unataka kusema ndo una majibu au mtu wa kuinua uchumi huo 2020. Acha kuzunguka na weka jina la mgombea wako .
UVCCM ya awamu ya tano si ya kujenga hoja bali kutoa vitisho
 
Ikiwa 2019 uchumi wetu umeshuka mpaka 4.1 kutoka 7.1 na hakuna njia au mkakati wowote wa Serikali wa makusudi wa kujikwamua ktk hali hii, basi ni wazi kwamba 2020 kuna hatari ya uchumi kushuka mpaka kufikia 1.1 au ikwa ni 0 kabisa

Miradi yote inayofanywa na Serkali kwa sasa inahitaji pesa na hakuna hata mradi mmoja mkubwa ambao una sura ya kuzalisha hivi karibuni. Mfano ni mradi wa Stiglas, huu utakamilika baada ya miaka 13 na Kama kutatokea upungufu wa pesa katika ujenzi wa mradi huu, unaweza kwenda hadi miaka 20.

Mradi wa SGR ili ukamilike Zinahitajika pesa nyingi ambazo Serikali haina, tunategemea misaada na mikopo ya kibiashara kutoka kwa Mabeberu. Wakigoma huu mradi hautakamilika kwa wakati, lakini pia hata ukikamilika bado mchango wake ktk uchumi ni mdogo sana kwa sababu huu mradi umekaa kihuduma zaidi.kote inakopita hii reli tayari kuna Barabara nzuri za lami na hakuna shida ya usafiri kabisa, hakukuwa na sababu yoyote ya kuanzisha mradi huu mkubwa ambao utatufilisi, badala yake Kama ni suala la kusafirisha mizigo kwa garama nafuu, tungeweza tukaiboresha Reli ya Kati ili kunusuru Chumi wetu.

Mradi wa ndege, huu kila mtu anajua ni mradi ambao Watanzania wanatakiwa wauhudumie Kama mgonjwa, kwa sababu ukiangalia ripoti ya CAG inajieleza kwamba unajiendesha kwa hasara.

Ukiangalia kwa ujumla biashara nyingi kwa sasa zinadidimia na nyingi kufungwa kabisa kutokana na kukosa walaji Sekta ya ujenzi ambayo ilikuwa inakwenda kwa kasi sasa hivi iko hoi, hakuna mwenye uwezo wa kujenga tena. Hata wale waliojenga hawana wateja wa kupanga, hotel nyingi ziko hoi gest hazina wateja kabisa, mfano hai ni huu msimu wa sikukuu, miaka 5 iliyopita msimu Kama huu huwa ni high season kwa wafanyabiashara, lakini Mwaka huu ni Kama Msiba. Hakuna shamra shamra Zozote, wanunuzi hakuna kabisa.hii ni dalili tosha kwamba Wananchi hawa pesa na matumaini yametoweka kabisa.

Hali hii ikiendelea namna hii, Ina maana Mapato ya TRA kwa mwaka 2020 yatapungua sana, mbaya zaidi hawa Mabeberu wa IMF na World Bank wanatuandama sana, wamefikia mahali sasa wanawatisha mpaka wawekezaji wapya kwamba Ati Tanzania siyo sehemu salama ya kuwekeza! Kwa maana hiyo tusitegemee wawekezaji wapya.

Korosho nayo ndiyo hivyo, inazidi kuozea maghalani.inatia uchungu. Raisi anajitahidi kutafuta japo Soko la mahindi Zimbabwe lakini kwa bahati mbaya sana tumeshachelewa, kwa sababu bei ya mahindi kwa sasa iko juu east Afrika kwa hiyo hatuwezi kuuza mahindi Zimbabwe kwa bei wanayoitaka. Mbaazi ndiyo kabisa hakuna mnunuzi. Yule mnunuzi aliyekuwa ananunua amegoma kwa sababu Serikali ilimdharau mpaka ikaamua kumpima mkojo, Na yeye akaamua kususa. Sasa wakulima wamebaki wanaduwaa hawajui la kufanya. Hakuna juhudi za kuwatafuta wanunuzi wapya.inauma sana!

Watanzania Tujiandae 2020 hali itakuwa mbaya kuwahi kutokea. Na bahati mbaya zaidi ni Mwaka wa uchaguzi, kwa hiyo Nchi itakuwa ktk hali ya uhitaji mkubwa wa pesa kwa ajili ya uchaguzi na pa kuzipata ni kwa hawa hawa wafanyabiashara wachache waliobaki wenye Roho Ngumu.au Wavumilivu.

Watanzania tutafanya Muujiza gani kuepuka hali hii? Hasa ukizingatia Zile mbwembwe za kwenye majukwaa kwamba 2020 tutakuwa na uchumi wa Kati kwa Sababu tulipata Gesi nyingi sana! Sasa iko wapi? Au imeibiwa? Kwanini Watanzania hawaambiwi ukweli na hii ni Nchi Yao ?!
Huu uzi umewauza kwenye heading, wanakuja lesi, wanachokea kwenye maudhui, umeuweka kimtego kweli
Ndio maana trend ya kuchangia iko low
 
Kwa kweli kwa hili tukiwa kama Binadamu kuna haja Maombi juu ya Nchi
 
wamalize mradi mmoja mmoja,wamalize kwanza reli,kisha waje hilo bwawa,kwenda na miradi double double kwasasa itakuwa ngumu
 
Sawa tumekuelewa na tayari tumekupuuza
 
wamalize mradi mmoja mmoja,wamalize kwanza reli,kisha waje hilo bwawa,kwenda na miradi double double kwasasa itakuwa ngumu
For poor countries like ours, the best option especially for us who depends on foreign grants/loans and we want to execute mega projects..is to prioritize and stagger them on implementation, if we want to smoothly succeed to accomplished them...that's also my opinion and experience from other developing countries like ours. Thanks.
 
Ikiwa 2019 uchumi wetu umeshuka mpaka 4.1 kutoka 7.1 na hakuna njia au mkakati wowote wa Serikali wa makusudi wa kujikwamua ktk hali hii, basi ni wazi kwamba 2020 kuna hatari ya uchumi kushuka mpaka kufikia 1.1 au ikwa ni 0 kabisa

Miradi yote inayofanywa na Serkali kwa sasa inahitaji pesa na hakuna hata mradi mmoja mkubwa ambao una sura ya kuzalisha hivi karibuni. Mfano ni mradi wa Stiglas, huu utakamilika baada ya miaka 13 na Kama kutatokea upungufu wa pesa katika ujenzi wa mradi huu, unaweza kwenda hadi miaka 20.

Mradi wa SGR ili ukamilike Zinahitajika pesa nyingi ambazo Serikali haina, tunategemea misaada na mikopo ya kibiashara kutoka kwa Mabeberu. Wakigoma huu mradi hautakamilika kwa wakati, lakini pia hata ukikamilika bado mchango wake ktk uchumi ni mdogo sana kwa sababu huu mradi umekaa kihuduma zaidi.kote inakopita hii reli tayari kuna Barabara nzuri za lami na hakuna shida ya usafiri kabisa, hakukuwa na sababu yoyote ya kuanzisha mradi huu mkubwa ambao utatufilisi, badala yake Kama ni suala la kusafirisha mizigo kwa garama nafuu, tungeweza tukaiboresha Reli ya Kati ili kunusuru Chumi wetu.

Mradi wa ndege, huu kila mtu anajua ni mradi ambao Watanzania wanatakiwa wauhudumie Kama mgonjwa, kwa sababu ukiangalia ripoti ya CAG inajieleza kwamba unajiendesha kwa hasara.

Ukiangalia kwa ujumla biashara nyingi kwa sasa zinadidimia na nyingi kufungwa kabisa kutokana na kukosa walaji Sekta ya ujenzi ambayo ilikuwa inakwenda kwa kasi sasa hivi iko hoi, hakuna mwenye uwezo wa kujenga tena. Hata wale waliojenga hawana wateja wa kupanga, hotel nyingi ziko hoi gest hazina wateja kabisa, mfano hai ni huu msimu wa sikukuu, miaka 5 iliyopita msimu Kama huu huwa ni high season kwa wafanyabiashara, lakini Mwaka huu ni Kama Msiba. Hakuna shamra shamra Zozote, wanunuzi hakuna kabisa.hii ni dalili tosha kwamba Wananchi hawa pesa na matumaini yametoweka kabisa.

Hali hii ikiendelea namna hii, Ina maana Mapato ya TRA kwa mwaka 2020 yatapungua sana, mbaya zaidi hawa Mabeberu wa IMF na World Bank wanatuandama sana, wamefikia mahali sasa wanawatisha mpaka wawekezaji wapya kwamba Ati Tanzania siyo sehemu salama ya kuwekeza! Kwa maana hiyo tusitegemee wawekezaji wapya.

Korosho nayo ndiyo hivyo, inazidi kuozea maghalani.inatia uchungu. Raisi anajitahidi kutafuta japo Soko la mahindi Zimbabwe lakini kwa bahati mbaya sana tumeshachelewa, kwa sababu bei ya mahindi kwa sasa iko juu east Afrika kwa hiyo hatuwezi kuuza mahindi Zimbabwe kwa bei wanayoitaka. Mbaazi ndiyo kabisa hakuna mnunuzi. Yule mnunuzi aliyekuwa ananunua amegoma kwa sababu Serikali ilimdharau mpaka ikaamua kumpima mkojo, Na yeye akaamua kususa. Sasa wakulima wamebaki wanaduwaa hawajui la kufanya. Hakuna juhudi za kuwatafuta wanunuzi wapya.inauma sana!

Watanzania Tujiandae 2020 hali itakuwa mbaya kuwahi kutokea. Na bahati mbaya zaidi ni Mwaka wa uchaguzi, kwa hiyo Nchi itakuwa ktk hali ya uhitaji mkubwa wa pesa kwa ajili ya uchaguzi na pa kuzipata ni kwa hawa hawa wafanyabiashara wachache waliobaki wenye Roho Ngumu.au Wavumilivu.

Watanzania tutafanya Muujiza gani kuepuka hali hii? Hasa ukizingatia Zile mbwembwe za kwenye majukwaa kwamba 2020 tutakuwa na uchumi wa Kati kwa Sababu tulipata Gesi nyingi sana! Sasa iko wapi? Au imeibiwa? Kwanini Watanzania hawaambiwi ukweli na hii ni Nchi Yao ?!
Tutagawana fito 2020.
 
Inashangaza walivyokomalia mradi huu wakati njombe kuna mito mitatu ya maporomoko wanapiga stori tu nayo,Mbeya na Ruvuma,Njombe kuna makaa ya mawe wataimba ngonjera tu lakini huu imekua kama ule wimbo wa uchumi wa gas
Sasa mradi usipoisha ndani ya mda wa mkuu itakuaje?
Huu ni mradi wa Nchi siyo mradi wa mkuu! Ndiyo maana ulisanifiwa tangu awamu ya kwanza (wakati wa mwalimu). Wewe wa awamu ya sita utaendelea atakapoishia JPM. Nchi ni kitu endelevu "going concern", inaishi hata baada ya maisha ya binadamu mmoja mmoja.
 
Katika yote niliyoandika ukaona going concern tuu,mbona miradi ya gas ya Mtwara haipendelei au huko going concern haihusiki?
 
Ccm walichojali ni kuokoa chama sio nchi.Mtabiri wa nchi moja alitabiri uchumi utakufa, hakuna indicator yeyeto ya ukuaji wa uchumi yenye matumaini,miradi karibu yote ni whitelephat SGR imekaa kiluxurious zaidi kuliko kiuzalishaji,mizigo iko wapi ya kubeba? Mnyonge gani atamudumu kupanda SGR,ndege tu nauli yake ni sawa Na mapato ya masikini Kwa miezi mitatu.Walidhani wanamkomoa mpimwa mkojo kumbe wamekoma wakulima no soko mbaazi,dengu,choroko,korosho.Dereva wa GARI LA abiria yafaa awe tajiri au mfanyabiashara huyu otomatiki ni jasusi wa uchumi uwekeza kwenye faida wapi atapata Pesa.Huwezi ukawakomoa matajiri,mabeberu, Kusomesha watu no ( kuuwa private sector injini ya uchumi), kufungia Pesa zisizunguke kisha ubaki Salama.
 
Tatizo lako hasa wewe nini . Una uchungu na nchi . Au unataka kusema Mbowe ana uchungu na nchi kuliko JPM. Mbona wote hapa JFM mnaandika kama mna PHD ya majibu yote ya maisha.
Kama umeshaona uchumi utakufa so why write? Unataka kusema ndo una majibu au mtu wa kuinua uchumi huo 2020. Acha kuzunguka na weka jina la mgombea wako .

Ye kazungumzia projection za uchumi we unaleta mambo ya mgombea,muda ni Mwalimu utohitaji tafiti,we endelea kupraise tu utajikuta chini ya MAJI boti ishazama.
 
acha watu wafanye kazi kama wewe huoni umuhimu wa hii miradi piga kimya watakuja tumia wanao baadae wataona faida na umuhimu wake
 
Hivi mnalipwa kiasi gani kuichafua nchi yenu?? Hamna hata maombi kuuombea huu uchumi badala yake ni kuiombea ifilisike!!! Mnatia huzuni kweli kweli. Mnadhani leo huo uchumi ukiporomoka wewe utakuwa wapi??
Ninamuamini kamanda wetu. Ni dereva mathubuti, ameenda Sauzi akatupatia ajira. Kila msomi aliyesoma Kiswahili, nenda ubalozi wa SA ukajiandikishe. Nenda ubalozi wa Namibia, Msumbiji na Zimbabwe. Haya milango ya kutokea hiyooooo wazi kabisa. Acha kupiga majungu humu jf nenda Sauzi.
Tumetangaziwa na viongozi wetu kuwa katika EAC sisi ndo tunaongoza kwa uchumi unaokuwa fast tukifuatiwa na Kenya. Wewe usiye na data unatuambia ati uchumi utaparaganyika ikifikia 2020. Lini? Mwezi? Siku??? No data no right to write.
Hatuogopeshwi na ninyi viranja wa mabeberu. Tumewatimua na hamtapata nafasi kamwe.
 
Tumekupata mtoq hoja sasa kulikuwa na haja gani kuanzisha miradi yote mikubwa kwa wakati mmoja wakati mtu huna uhakika na Shekedi? Je tunaweza kuikamilisha miradi yote hii kwa hela za ndani???
 
Back
Top Bottom