Kuna kale ka issue ka uuzwaji wa nyumba za serikali mkuu, unakakumbuka eeh!? Basi basi nyamaze na usome kimya kimya watu wasisikie!Kwenye kampeni ilisemekana ni msafi hana makandokando
Nakupa mwaka mmoja hata wananchi wa hali ya chini watakuwa wanamchukia!Wananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho
Na usishangae tunakoelekea itakuwa ukifungua hata uzi kama huu kwenye mitandao ya kijamii unatafutwa na kupotezwa kimyakimya! Yaani namuogopa huyu jamaa sanaNchi hii imegeuzwa kua ya kisiasa. Hivi ni mwelekeo wa kuelekea kwenye dola la kiimla. Kitakachofuata baada ya kuwaweka wanasiasa kua absolute ruler then jeshi litapewa uwezo mkubwa wa kuwalinda hao wanasiasa. Yaani kwaheri Tanzania yenye amani. Km kuna anaebisha atakua anabisha kisiasa
Mkuu upo nje ya Tz nn? Toka aingie mpaka leo hakuna Jipya, hospital hamna Jipya ni yaleyale, Gharama za maisha zimepanda sana, kifp kachokwa mapema sanaWananchi wote ndo watapima na kuamua wampe nani Kura..ukitaka kujua hilo vunja serikali leo urudi kwenye uchaguzi tena uone nani ataambulia Kura.3..mim siasa sizijui vizuri ila nnachokiona kwa sasa magufuli kateka minds za watu wa hali ya chini kimaisha ambao ni kundi kubwa la watanzania kwa kupunguza gap kubwa la alyenacho na asie nacho
Endelea kuzungusha mikono.Huwa naamini ninaona mbali kuliko hapa nilipo kwa kutumia matukio ya hapa nilipo
Sikumpa kura yangu Lowasa kwa sababu niliamin alikuwa ameoza na angeifanya nchi Shamba la bibi
Lakini ikitokea hakuna mpinzani mwenye nguvu atakayegombea tofauti na Lowasa basi nitampa Lowasa kura yangu
Bora fisadi lakini nchi inaenda kuliko msafi lakini nchi inatumbukia shimoni huku tukishangilia utumbuaji wa vidagaa