Paul Victor
Member
- Mar 25, 2015
- 16
- 3
Wakati dereva aliyepita abiria wake walilalamika sana vyongozi wa basi kukithiri kwa kupenda hongo
Na abilia waliongea watakayo,pamoja na rushwa rushwa kukithiri bado maisha yao yaliendelea kufurahishwa na kuangalia video ndani ya basi huku wakicheka na kuchambua kinachoendelea
Pamoja na kwamba muda mwingi dereva alikua anamwachia konda gari, bado abiria waliendelea kutazama video hawakuweza kuona tofauti mambo yaliendelea.
Tumepata dereva mpya sasa habari za hongo na kujuana na makondakta hamna tena, na kazima video iliokua burudani na chanzo cha kupata taarifa mhimu ndani ya basi,wafanyakazi ndani ya basi choka mbaya hata kutoka majumbani mwao kufika kwenye basi kuwahudumia abiria wanashindwa, wanalia njaa,abiria nao wananjaa hatari,walikokua wanakimbilia kukopa nao wametangaza kufilisika ni mwendo wa kilio.
Bado safari inaendelea. na ni mwaka moja umepita sasa, sijui miaka mingine itakuaje, miezi kama hii.