juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,480
Kati ya wabunge kutoka vyama vinavyounda UKAWA,kwa hapa Dar es salaam ambaye nina uhakika alipita kwa bahati basi ni mbunge wa Kinondoni.
Huyu jamaa kwanza ashukuru kuungana kwa vyama vya UKAWA kwa sababu kura hazikugawanyika, lakini pia aishukuru CCM kwa kumpitisha mgombea ambaye wananchi hawakumtaka ndugu Iddi Azan.
Hata hivo pamoja na hilo lakini huyu mgombea wa CCM alishindwa kwa kura 5000, means kama CCM wangeweka mgombea anayeuzika basi wangeshinda, we fikiria vyama vinne viliungana na bado jamaa alikuwa na kura elfu 65 kwa 70.
Ina maana CCM bado ina watu wa kutosha, sasa nasema hivi, nina uhakika wa 100% Kinondoni 2020 itarudi CCM, unless huyu mbunge ajijengee heshima kwa kufanya hata mikutano na maendeleo, ila bahati mbaya huyu ni mbunge pekee wa DSM ambaye hata jina lake watu hawamjui na hata sura hajulikani