marwacharles
New Member
- Jan 20, 2015
- 3
- 1
Hahaha acha doto za mchana kweupe hizo ni doto za mwenda wazimu unachokifikilia siyo wakati wake kwa ss
Mtulia jimbo limemzidi uwezo, ameshindwa kutumia kabisa uwepo wa UKAWA, kiuhalisia mgogoro wa CUF utarudisha majimbo mengi tu ya UKAWA ya Dsm kwa CCM.
Labda labda na ndoto za mwendawazimu! Wizi wa kura, ahadi hewa na zisizotekelezeka, ubaguzi wa wazi wa miradi ya maendeleo, chuki kuanzia kwa mwenyekiti na mkulu, fitina na uchochezi wenye kuvuruga amani ukisimamiwa na kuratibiwa na vyombo vileeee, na mengine ongeza wewe. Haya ndiyo unayofikiri yatamgeuza chui kuwa paka? Fikirini tena namna ya kupropagate na kuwaaminisha mnaowashikia akili zao kwa pakti ya chumvi.Mkuu, si Kinondoni tu bali majimbo mengi sana ya UKAWA. Wananchi wameshtuka kumbe wapinzani ni matapeli tu
Tatizo huja pale tunapochukua haohao watu waliokulia ccm,wamezeekea ccm harafu waligombea ccm wakakataliwa ndipo sisi tunawachukua na kuona wao ni almasi,,tafakari mara mbili mkuu japo upo nje ya mada.Labda labda na ndoto za mwendawazimu! Wizi wa kura, ahadi hewa na zisizotekelezeka, ubaguzi wa wazi wa miradi ya maendeleo, chuki kuanzia kwa mwenyekiti na mkulu, fitina na uchochezi wenye kuvuruga amani ukisimamiwa na kuratibiwa na vyombo vileeee, na mengine ongeza wewe. Haya ndiyo unayofikiri yatamgeuza chui kuwa paka? Fikirini tena namna ya kupropagate na kuwaaminisha mnaowashikia akili zao kwa pakti ya chumvi.
Ila kwa zama hizi na zijazo hakuna kucheka na kima wa kijani tena. Ni nani mjinga atakayependa kuchagua njaa na taabu pamoja na ukosefu wa huduma duni za kijamii na ubahili usio na tija?
Ccn mmeanza kukataliwa mioyoni na machoni na sahauni kupata ushindi wa chee hata kama mtawahaza makada wenu hadi vyooni.
Mbichi sizitaki. Vipi mmeweka wakili mzuri kumtetea meya wa kichina?Mkuu, si Kinondoni tu bali majimbo mengi sana ya UKAWA. Wananchi wameshtuka kumbe wapinzani ni matapeli tu
Nyau wewe kwa msigwa mlisema hivyo hivyo na mbona karudi bungeni? kwa bwege nako mliandika upuuzi wenu unajua saiv bwege kashinda kwa tofauti ya kura ngapi?Kati ya wabunge kutoka vyama vinavyounda UKAWA,kwa hapa Dar es salaam ambaye nina uhakika alipita kwa bahati basi ni mbunge wa Kinondoni.
Huyu jamaa kwanza ashukuru kuungana kwa vyama vya UKAWA kwa sababu kura hazikugawanyika, lakini pia aishukuru CCM kwa kumpitisha mgombea ambaye wananchi hawakumtaka ndugu Iddi Azan.
Hata hivo pamoja na hilo lakini huyu mgombea wa CCM alishindwa kwa kura 5000, means kama CCM wangeweka mgombea anayeuzika basi wangeshinda, we fikiria vyama vinne viliungana na bado jamaa alikuwa na kura elfu 65 kwa 70.
Ina maana CCM bado ina watu wa kutosha, sasa nasema hivi, nina uhakika wa 100% Kinondoni 2020 itarudi CCM, unless huyu mbunge ajijengee heshima kwa kufanya hata mikutano na maendeleo, ila bahati mbaya huyu ni mbunge pekee wa DSM ambaye hata jina lake watu hawamjui na hata sura hajulikani
Derek Bryceson.Labda enzi zile za Derrick Bryson.