Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,582
- 284,132
Bila polisi ccm ni wepesi kuliko pamba .
Upepo huwa unageuka haya mambo hayana garantii.Hizo ni porojo za mitandaoni jpm had I 2025 kwa sababu hana mpinza mwenye ubavu wa kumtoa ikulu
Tukiacha kuibadilisha gia angani itawezekana2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Magufuli miaka 23 YA urais2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS