nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,988
- 5,649
Kama unampenda sana nenda kanywe naye Balimi kwenu! ShwainiNazan 2025 utakuwa ndo muda sahihi wa kumpumzisha.
2020 tumwache aendelee tu.

Unaona sasa!! Sera za upinzani sasa imekuwa sera ya lugha ya kiingereza?? Hivi watz kweli tunahitaji rais ambaye lazima awe anaongea kama mwingereza?? Kweli CCM itaongoza miaka 300!! Tunahitaji maendeleo siyo lugha ya kitumwa na asiyependa mila zake ikiwemo lugha yake ni mtumwa wa akili...!!Ila naona dharau ya wazi iliyofanywa na M7 kule Uganda wakati wa press yao na waandishi wa habari.
Huu uliofanywa na M7 ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa rais wetu. Naamini M7 anajua kabisa kuwa Rais wetu Lugha za nje ya Tz zinampa shida, ni kwa nini aliruhusu maswali mengine yaulizwe kwa Lugha za kigeni?????????????.
NIMETOKA BAN LEO...
Naogopa hata kutia neno hapa.Maana kwa sasa sina imani na mods na uongozi wa JF nahisi wako upande wa pili

Hujui ulisemalo, mtafute mama Mngwira akusaidie2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Chadomo watasafirisha weeeeeee.ccm chama dume. Hivi leo unaweza kusema JPM hawezi kucommunicate in English? ? Wajinga what is English in URT perspective? ?? JPM kawatoa tongotongo Watanzania waliokuwa wanaona aibu kutumia kiswahili. Lugha yako ni uchumiUnaona sasa!! Sera za upinzani sasa imekuwa sera ya lugha ya kiingereza?? Hivi watz kweli tunahitaji rais ambaye lazima awe anaongea kama mwingereza?? Kweli CCM itaongoza miaka 300!! Tunahitaji maendeleo siyo lugha ya kitumwa na asiyependa mila zake ikiwemo lugha yake ni mtumwa wa akili...!!
HahahaaKwa tume ipi? Acha kutupa matumaini hewa. Tena msipokuwa makini anaweza asitoke hata 2025. Huwezi kuwa jeuri namna hii ukatoka kizembe zembe. Kina M7 wanapenda sana kupumzika lakini atawaambia nini Dr. Besigye wakishika nchi

Wewe mgumu sana kuelewa, na kama type ya wanaccm wote wako kama wewe basi nchi itaendelea ya wajinga masikini na wenye maradhi, Haya matatizo hayatatoka.Unaona sasa!! Sera za upinzani sasa imekuwa sera ya lugha ya kiingereza?? Hivi watz kweli tunahitaji rais ambaye lazima awe anaongear kama mwingereza?? Kweli CCM itaongoza miaka 300!! Tunahitaji maendeleo siyo lugha ya kitumwa na asiyependa mila zake ikiwemo lugha yake ni mtumwa wa akili...!!
Msipo mchafua tume take itamtangaza mshindi, tz sio Kenya!2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Mkuu jiepushe na kubwabwaja upuuzi.
2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS

Maswali ya wakina mzee Msako-Kipima joto ndiyo design ya maswali anayapenda Magu.Umeona alivyovurugwa Uganda? Ndio maana anaogopa maswali ya waandishi wa nje.....amezoea waandishi wa bahasha hawa wetu wanauliza direct....pale ameulizwa swali M7 akaona oohhhapa huyu kanjanja wa lugha amesikia neno la mwisho akarirudia takuwa shida.....akawa anamsaidia....amemsaidia sana....maana amevurugwa akakubali anabaka haki za binadamu
Hujuwi hata Makamba jnr alichukua fomu bila kutumwa na yoyote 2015....2020 anapigania kimkakati ndani ccm ...time will tellMwaka 2020 anarudi ikulu kwa sababu kura zilishapigwa mapema na kile kikundi cha January makamba na tume za uchaguzi zipo kwenye makabati wanasubiri kutangaza tu, hatachaguliwa na wananchi bali uchakachuaji ndiyo utamrejesha ikulu.
Magufuli kasha sema atagombea 2020?!?!2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS
"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......
Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Kumbe upo kijijini2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS

Bila katiba mpya no wayIla tuacheni utani bila tume huru ya uchaguzi CCM itatawala Nchi hii mpaka kiama