Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,101
Kwa akili yako ya darasa la saba sishangai, Tanzania hairudi na point ata moja.
Ni ruksa ukiwa na njaa ajabu ukawaza unakula pilau biliani kujifariji.Najua wengi mmekata tamaa baada ya kupokea kichapo mujarabu kutoka kwa Senegal, Ila Huwezi amini hii timu itavuka hatua hii ya makundi.
Raundi inayofata Itakuwa Kama ifuatavyo:
Tanzania itashinda 2-0 mechi ya kenya na kuwa na point 3 .
Algeria atamfunga senegal 3-0 na kufikisha point 6
Msimamo utakuwa
1. Algeria 6
2. Senegal 3
3.Tanzania 3
4. Kenya 0
Raundi ya mwisho
Tanzania atadraw bila kufungana na Algera na kufikisha point 4
Kenya atadraw 1-1 na Senegal na kufikisha point 1
Msimamo wa mwisho utakuwa
1.Algeria point 7 goli difference 5
2. Tanzania point 4 goli difference 0
3. Senegal point 4 goli difference -1
4. Kenya point 1 goli difference-4
Hivyo Tanzania itaipita senegal kwa tofauti ya ma goli ya kufunga na kufungwa.
Najua wengi mtabeza lakini mwisho wa siku mtanitafuta ili niwatabirieni mambo yenu yajayo
Mali shenzi zenu mnafunga goli mnacheza Tetema mtafanya tusilale huku Mond akiona
Usimjaribu Bwana Mungu wako