2019 Africa Cup of Nations Special Thread

N
Azam TV siku hizi ndo television ya taifa cjui wasingekuwepo tungeweka wapi nyuso zetu.
Ninavyoelewa mimi azam tv ni pay tv na ilihali inatakiwa televisheni ya taifa ionyeshe mashindano hayo angalia south afrika dstv wanaonyesha lakini televisheni yao ya taifa Sabc inaonyesha vilevile kenya na uganda tbc1 inakwama wapi
 

Zimbabwe upbeat ahead of first match in the Africa Cup of Nations against hosts Egypt
 
Nimesubiri nione kama watatangaza kuonyesha hiyo michezo sijasikia popote. Kweli uzalendo uchwara una tabu zake.
 
Hakika Jambo la kustaajabisha sijui tunakwama wap kama nchi,uyu mwakyembe rioba mnafanya nin ofisn,kikwete tutakumic sana sekta hi ulikuwa unaweza ila Hawa ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…