2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Africa kweli tumelogwa. Na aliyetuloga kafa. Yaani kabla fainali za Afcon2019 hazijaisha tayari CAF wametoa ratiba ya kufuzu kwa Afcon2021! Makundi ni kama unavyoona hapa chini....
 
Wakuu huyu mwali (Ubingwa Afcon 2019) ataenda nchi gani? Kumbukeni harusi leo ila waoaji wamejitokeza wawili (Algeria & Senegal) nani anabeba jiko? Utabiri wenu muhimu ili wengine tubeti 😂😂😂
 
Nakagua mkeka wangu
 
Naskia tizedi imefika fainali

Ndo nmewasha simu leo

Hongereni sana wakuu


Hivi simba washamchukua pogba , nliacha ipo hot sana hiyo ishu kabla sijafa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…