2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Nasisitiza, Algeria anachukua kombe, jifanye unajikuna kama unabisha
Hapana umekosea mkuu
Senegal mpaka finali na ndoo anabeba
Senegal anabeba ndoo
Hadi hapa napenda kuchukua fursa ya kujipongeza mwenyewe kwa mkeka huu ulivyotiki barabara.

Mkeka wa lala salama utakuwa namna hii.

1. Bingwa AFCON 2019 - Algeria (Timu iliyofungwa magoli 2 hadi sasa ndani ya dk 90)
2. Mshindi wa Pili - Senegal
3. Mshindi wa Tatu - Nigeria
4. Mshindi wa Nne - Tunisia.

 
Goooooo mbili mbili Senego anaenda fainali
imeniuma sana nilitaka Tanzania imtoe Nigeria ichukue mapinduzi cup, daah hakuna jinsi yanga ichukue tu hili kapu iende kuchangisha pesa kule msimbazi kabla hawajaamka na kukimbilia msituni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…