teledam
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 927
- 1,239
umekubali nigeria ilikuwa ni team mze baba..iyo ishatinga nusu huku,maajabu ya soccer
Naijeria Hakuna timu pale
Naijeria Hakuna timu pale
Misri inakosaje kwenye list wewe jamaa
Write your reply...
mkeka wangu leo nimewaua waarabu wote wawili!
tusibishane sana anayebisha anyooshe kidole juu
Nahofia tembo was teranga kutolewa na kadi nyekundu hapakosekani. Timu zote mbili wanafujo za kipuuzi sana
Ivory coast wanafujo sana na kubebwa juu, Wanawafanya Algeria waonekane sio maginiaz wa mpira. Penalt ya wazi kabisa wamenyimwa Algeria.