Acha masihara mkuu.Kama taifa tunashindwa kuwalipa wachezaji dola 300 tu? 75 ni ndogo sana ukichukulia pia pale wapo kazini.
Mtu kama Samatta hiyo dola 300 tu ni kama anajitolea.
Tupeane link tafadhali wengine 2po mbali na TvWaheshiniwa tusogee kwa TV kuna deby Uganda na DR Cong😵kwi na Juuko ndani ya starting 11.Natabiri Uganda 2 Congo DR 0
Kwa mfano leo Uganda na DRC wanacheza nyuzi joto 36•C.Joto limeanza kuwaathiri wachezaji. Mchezaji wa Nigeria Kalu amekimbizwa hospital kutokana na dehydration.
hivi hiyo $ 300 ni kwa siku? Au ni kwa kipindi chote watakachokua huko kwenye mashimdanoKama taifa tunashindwa kuwalipa wachezaji dola 300 tu? 75 ni ndogo sana ukichukulia pia pale wapo kazini.
Mtu kama Samatta hiyo dola 300 tu ni kama anajitolea.
Uganda ile tuliifunga hapa ilkuwa likizo.
Hii ya leo tofauti.
Au DR Congo wamekunywa nini? Wazito wazito sana kama Lukaku vileHahaha, mliwafunga matetea
Utabiri wako unaelekea kuwa kweliWaheshiniwa tusogee kwa TV kuna deby Uganda na DR Cong😵kwi na Juuko ndani ya starting 11.Natabiri Uganda 2 Congo DR 0
Au DR Congo wamekunywa nini? Wazito wazito sana kama Lukaku vile