2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hakuna timu ya kuifunga ALGERIA Africa nzima....amini maneno yangu na weka kumbukumbu ndiye bingwa
 
Mkuu mpira wa Africa style of play ileile moja haibadiliki kwa timu zote huwezi kuelewa hii ni timu kubwa hii ni ndogo
 
Hakuna timu ya kuifunga ALGERIA Africa nzima....amini maneno yangu na weka kumbukumbu ndiye bingwa
Algeria hawatachukua hili kombe, hata wakirudiana na Senegal tena au Nigeria watatoka tu...!!!

Au tubet hapahapa.
 
Back
Top Bottom