kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 629
Dr shika alibamba sana ni sawa na msukule ulifufuka na kisha ukafa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado yapo.Hivi makinikia bado yapo bandarini?
hakuna kilichoniboa kama Wasiojulikana na wakalindwa na serikali.Hakika mwaka 2018 jambo kubwa lililo niumiza ni suals la Makinikia ambalo tuliaminishwa kuwa "wanaume' wata tulipa trillion 450 fedha ambazo zingeibadili kabisa nchi yetu na hata haya mambo ya kupora wakulima korosho yasingekuwepo. Ajabu ni kuwa makinikia hayatajwi kabisa kama vile kutaja kitimoto msikitini, sio Mzee Baba au Kabudi wote kimya.
Hilo limeniuma sana 2018, wewe jee ni nini?
a.k.a uzinduzi wa marudio.
hahahaaaaaMikontena ya makonda😂😂😂
Hakika mwaka 2018 jambo kubwa lililo niumiza ni suals la Makinikia ambalo tuliaminishwa kuwa "wanaume' wata tulipa trillion 450 fedha ambazo zingeibadili kabisa nchi yetu na hata haya mambo ya kupora wakulima korosho yasingekuwepo. Ajabu ni kuwa makinikia hayatajwi kabisa kama vile kutaja kitimoto msikitini, sio Mzee Baba au Kabudi wote kimya.
Hilo limeniuma sana 2018, wewe jee ni nini?
Dr shika alibamba sana ni sawa na msukule ulifufuka na kisha ukafa tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Makinikia yalishaenda nje ya nchi kijanaHivi makinikia bado yapo bandarini?