2018 Nakumbuka Makinikia, Wewe Unakumbuka Nini?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,401
2,000
Hakika mwaka 2018 jambo kubwa lililo niumiza ni suals la Makinikia ambalo tuliaminishwa kuwa "wanaume' wata tulipa trillion 450 fedha ambazo zingeibadili kabisa nchi yetu na hata haya mambo ya kupora wakulima korosho yasingekuwepo. Ajabu ni kuwa makinikia hayatajwi kabisa kama vile kutaja kitimoto msikitini, sio Mzee Baba au Kabudi wote kimya.
Hilo limeniuma sana 2018, wewe jee ni nini?
 
Adili

JF-Expert Member
Nov 3, 2007
3,142

Hivi makinikia bado yapo bandarini?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom