2018 Historic British Royal Weeding

2018 Historic British Royal Weeding

KIM JOHN UN

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Posts
744
Reaction score
1,075
Kama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss

Itakumbukwa kwamba event kama hii ilitokea tena kunako mwaka 2011 pale ambapo mtoto wa kwanza wa Prince Charles aitwae Prince William alifunga harusi ya karne na kipenzi chake Princess Catherine Middleton kunako kasri la Backnghum Palace lakini harusi hii ilifungwa katika kanisa la Cantibury na kwa kweli wawili hawa waliutingisha ulimwengu baada ya ile harusi ya baba yao iliyofungwa mwaka 1988.

Kwa maana hiyo napenda kuwatanabarisha kuwa kesho nitawaleteeni moja kwa moja hii live coverage ya Royal weeding of British empire kati ya Prince Harry na Meghan Markle kutoka hapa WINDSOR CASTLE - London kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa Tisa mchana (10.00 am to 03.00pm (BST)

KIM JOHN UN
WINDSOR CASTLE-LONDON
 
mkuu badilisha kidogo hapo kwenye kichwa cha habari weeding ieleweke
 
Weeding= The process of smoking marijuana/weed/ganja/msuba/ndumu

Mkuu utakua unaongelea wedding,,af mbn huleti mrejesho wakati mambo yashaanza huko kwa Mama
 
Kama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss

Itakumbukwa kwamba event kama hii ilitokea tena kunako mwaka 2011 pale ambapo mtoto wa kwanza wa Prince Charles aitwae Prince William alifunga harusi ya karne na kipenzi chake Princess Catherine Middleton kunako kasri la Backnghum Palace lakini harusi hii ilifungwa katika kanisa la Cantibury na kwa kweli wawili hawa waliutingisha ulimwengu baada ya ile harusi ya baba yao iliyofungwa mwaka 1988.

Kwa maana hiyo napenda kuwatanabarisha kuwa kesho nitawaleteeni moja kwa moja hii live coverage ya Royal weeding of British empire kati ya Prince Harry na Meghan Markle kutoka hapa WINDSOR CASTLE - London kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa Tisa mchana (10.00 am to 03.00pm (BST)

KIM JOHN UN
WINDSOR CASTLE-LONDON
Mkuu harusi ya William na Kate ilifanyika Westminster Abbey ni mfungishaji ndiyo alikuwa Archbishop wa Canterbury
 
Kama tunavyofahamu kuwa huko kunako London -Uingereza yule mtoto wa pili wa Prince Charles na Late Princess Diana aitwaye Prince Harry anatarajia kuchukua jiko moja hatari sana kutoka kwenye familia ya Sir Markle a.k.a the big boss

Itakumbukwa kwamba event kama hii ilitokea tena kunako mwaka 2011 pale ambapo mtoto wa kwanza wa Prince Charles aitwae Prince William alifunga harusi ya karne na kipenzi chake Princess Catherine Middleton kunako kasri la Backnghum Palace lakini harusi hii ilifungwa katika kanisa la Cantibury na kwa kweli wawili hawa waliutingisha ulimwengu baada ya ile harusi ya baba yao iliyofungwa mwaka 1988.

Kwa maana hiyo napenda kuwatanabarisha kuwa kesho nitawaleteeni moja kwa moja hii live coverage ya Royal weeding of British empire kati ya Prince Harry na Meghan Markle kutoka hapa WINDSOR CASTLE - London kuanzia saa nne kamili asubuhi hadi saa Tisa mchana (10.00 am to 03.00pm (BST)

KIM JOHN UN
WINDSOR CASTLE-LONDON
Charles (baba yao na hao vijana) hakufunga ndoa 1988 bali 1981. Rekebisha taarifa zako.
 
Back
Top Bottom