Kui Hillary Rodham Clinton.Expected audience of 100 million!, woi!
Kama super bowl, or even more. Hopefully Hillary will come out a winner, as they say, debates are supposed to reward those with expertise.
It's good that she has an advantage of whites college educated and women, plus the minority vote.
Expected audience of 100 million!, woi!
Kama super bowl, or even more. Hopefully Hillary will come out a winner, as they say, debates are supposed to reward those with expertise.
It's good that she has an advantage of whites college educated and women, plus the minority vote.
Kui Hillary Rodham Clinton.
Nakuombea usije kupata `stroke`.
Vipi trend ya opinion polls?
Monica Lewinsky atakuwepo ukumbini, wivu utamtoa hillary kwenye reli.Haha!, tusubiri tu kuapishwa Rais wa kwanza mwanamke USA...lol
Polls zinaonekana vizuri upande wa Hillary, na hopefully zitaongezeka akimcharaza the D kwenye debate baadae leo. Subiri kumuona Trump atakavyokuwa anajikanyaga wakati Hillary atakuwa anamchora tu...can't wait! π
Monica Lewinsky atakuwepo ukumbini, wivu utamtoa hillary kwenye reli.
Haha!, tusubiri tu kuapishwa Rais wa kwanza mwanamke USA...lol
Polls zinaonekana vizuri upande wa Hillary, na hopefully zitaongezeka akimcharaza the D kwenye debate baadae leo. Subiri kumuona Trump atakavyokuwa anajikanyaga wakati Hillary atakuwa anamchora tu...can't wait! π
Masaa mawili kutoka sasa. Hapa nina kausingizi ila nitakomaa tu!!Huo mdahalo unaanza mda gani wadau?
Huo mdahalo unaanza mda gani wadau?
Kwa mujibu wa kura zipi za maoni?Nationally Bibie Anaongoza, Trump yupo nyuma kidogo.
Naam tunasubiri kwa hamu sana January 20, 2017 (kama sikosei) kuapishwa kwa mwanamke wa kwanza kama rais wa Marekani katika miaka 240 ya US kuwa huru. Akimcharaza Trump leo itakuwa bomba sana na OP zikianza kuweka gap kubwa labda double digits Trump atageuza kibao na kuamua kwenda low, shuhudia jinsi atakavyowatumia akina Gennifer Flowers, Monica Lewinsky etc kuwachafua akina Clinton.
Nationally Bibie Anaongoza, Trump yupo nyuma kidogo.
Masaa mawili kutoka sasa. Hapa nina kausingizi ila nitakomaa tu!!
Let's be objective...hii audience ya 100 million kwa kiasi kikubwa [kama hata ni kweli itakuwa hiyo idadi] inavutwa na Donald Trump.
Sidhani kabisa kama angekuwa Jeb au Kasich wangekuwa wanabishana na Hillary ungepata hiyo idadi.
Lakini pia ambalo haliingii akilini, huyu Hillary na Donald ndo wagombea wa vyama vikuu ambao hawapendwi na idadi kubwa ya watu.
Kwangu yeyote kati yao atakayeshinda Marekani ndo itashindwa.
Sasa iweje hawa wagombea waweze kuvuta idadi kubwa ya watu namna hiyo?
Binafsi sidhani kama watu 100 milioni watawaangalia hawa watu wakibishana.
Wote wagonjwa...mmoja mgonjwa wa akili mwingine ugonjwa wake hata haueleweki ni nini lakini ni mgonjwaπ.
But here we go...let's see of the whole thing lives up to its billing.