2016 US Elections - Exlusive discussion thread

2016 US Elections - Exlusive discussion thread

platozoom, kumbuka kwenye primary mtu yeyote anaweza kupiga kura hata wasio wanachama. Yawezekana waliokuwa wanampigia kura hawakuwa hata GOP ila walitaka apite wapate mteremko.

Hata huko kwa DEMS mambo yalikuwa hayo hayo. Wengi waliompigia Sanders hawakuwa wanachama. Bahati nzuri au mbaya viongozi wa DEMS walikuwa wajanja.
Hata Dems kulikuwa na makandokando yake. Naamini hujasahau emails za Wakubwa wa Dem zikimpendelea Hillary.

Kama Trump angekuwa hovyo kabisa tusingeona Polls za tofauti ya asilimia mbili au tatu au wakati mwingine neck to neck.

Hata kama Trump atashindwa lakini kuna ujumbe mahsusi umeonekana. Kwa nyakati za nyuma Mtu mropokaji kama Trump asingepata hata upenyo kidogo, kumbuka ile kauli ya Mit Romney ilivyomgharimu kwenye uchaguzi.

Lakini pamoja na kauli tata za Trump kuanzia primaries lakini bado anadunda. Maana yake rahisi, wengi sana wamechoka na the establisment.
 
Hawa watu wa dini wa ajabu sana, acha watu wengi waamue kususa kwenda makanisani na wengine wakitafutia dini nyingine. Ni bora hata wangekaa kimya kuliko kudai wanamuunga mkono huyu maniac.

14711142_10153909449921680_393153441243295934_o.jpg

Looks like evangelicals are sticking with the Donald. 🙂

View attachment 418638
 
Hawa watu wa dini wa ajabu sana, acha watu wengi waamue kususa kwenda makanisani na wengine wakitafutia dini nyingine. Ni bora hata wangekaa kimya kuliko kudai wanamuunga mkono huyu maniac.

14711142_10153909449921680_393153441243295934_o.jpg

Walimhoji Jerry Falwell juzi, baada ya ile tape kutoka kuona kama bado anam support Trump. Pamoja na title yake (President) of a christian university sikuamini vile Falwell alimtetea Trump even after he made those lewd comments. Halafu hata wale pastors wa mega churches wanaom support sijaona wamesema chochote hata baada ya hawa wanawake kutokea.
 
Unafiki wa watu kama hawa wanaojifanya watu wa dini sana ndiyo unawafanya wengi wajiulize
maswali ambayo hawapati majibu na kuamua kuachana na dini au kutafuta dini tofauti.

Walimhoji Jerry Falwell juzi, baada ya ile tape kutoka kuona kama bado anam support Trump. Pamoja na title yake (President) of a christian university sikuamini vile Falwell alimtetea Trump even after he made those lewd comments. Halafu hata wale pastors wa mega churches wanaom support sijaona wamesema chochote hata baada ya hawa wanawake kutokea.
 
Walimhoji Jerry Falwell juzi, baada ya ile tape kutoka kuona kama bado anam support Trump. Pamoja na title yake (President) of a christian university sikuamini vile Falwell alimtetea Trump even after he made those lewd comments. Halafu hata wale pastors wa mega churches wanaom support sijaona wamesema chochote hata baada ya hawa wanawake kutokea.

Hao watu wa dini nao wanafiki tu. We mtu wa dini utam support vipi mtu womanizer kama Trump?
 
Mwangalieni huyu mpayukaji mwingine, hovyooo!

Very stupid america and the world these allegations to Donald Trump compared to what affects the countries economic crisis, social crisis. Trump speaks about restoring America to its peak by stopping wars around the world that have resulted to economic debts of trillions of dollars, getting rid of gun violence while the other party Hilary Clinton speaks of new strategies of war around the world that will result in more economic debt of the country is seen as the right full person to consider as president, the world has a very thick brain to compare the two at an economic perspective.
 
Hao watu wa dini nao wanafiki tu. We mtu wa dini utam support vipi mtu womanizer kama Trump?
Kwenye kazi za white house na kushika skati za hao madada ambao hatui kama walikuwa malaya miaka hiyo au walivaa provocative miaka hiyo au wamelipwa na Hilary kumchafua Trump.
Naomba uniambie hizo habari za Trump kufanya hao vinaingiliana vipi na uongozi wa nchi
 
Very stupid america and the world these allegations to Donald Trump compared to what affects the countries economic crisis, social crisis. Trump speaks about restoring America to its peak by stopping wars around the world that have resulted to economic debts of trillions of dollars, getting rid of gun violence while the other party Hilary Clinton speaks of new strategies of war around the world that will result in more economic debt of the country is seen as the right full person to consider as president, the world has a very thick brain to compare the two at an economic perspective.

Wewe mwana2015, hii mijadala ya kimataifa ni wazi inakuzidi kimo na heri ungejikita katika siasa za bongo. Huu ni ushauri tu, hutaki unaacha.
 
Wewe mwana2015, hii mijadala ya kimataifa ni wazi inakuzidi kimo na heri ungejikita katika siasa za bongo. Huu ni ushauri tu, hutaki unaacha.
I thought ungekuja na point za ku crush nilichoandika unaniletea maelezo ambayo inaonekana hauna cha kujibu zaidi ya mipasho ya akili yako finyu
 
Argue? Argue with who? Sorry, I cannot take that chance...people may fail to notice the difference. Bye

Mag3 huyu sio size yako,ni aibu hata kuendelea kumjibu,mpotezee kabisa asije pata bichwa bure kwa wewe kumjibu.Tuendelee kukata nondo Mkuu wangu.
 
Great news to start a week with...(Crossing fingers)

GOP strategists: Clinton is in good shape with 3 weeks left.

DES MOINES, Iowa (AP) — With roughly three weeks to Election Day, Republican strategists nationwide publicly concede Hillary Clinton has a firm grip on the 270 Electoral College votes needed to win the White House — and may be on her way to an even more decisive victory over Donald Trump..

But along with indicators such as polling, campaign travel, staffing and advertising, the interviews with Republican political professionals unaffiliated with the Trump campaign suggest only an epic collapse by Clinton would keep her from winning enough states to become president..
If the election were held today, Clinton would likely carry the entire West Coast and Northeast, as well as most of the Great Lakes region — a place Trump once identified as ripe territory for his populist message against free trade...

GOP strategists: Clinton is in good shape with 3 weeks left
 
Back
Top Bottom