2016 US Elections - Exlusive discussion thread

Trumpa anaweza kuanguka leo..halafu halijibu swali linaloulizwa linazunguka tu..mambo ya isis kwenye swali la ujinga wake kwa wanawake yanatoka wapi
Lakini leo mpole isivyo kawaida yake.
 
Reactions: BAK
Sijui ni kitu gani, ila kadri anavyoongea kwa muda mrefu ndiyo hali inazidi kuwa mbaya.

...Pneumonia tena?!!!. πŸ™‚
 
Reactions: kui
WOOOOOOW! this is even uglier than I thought it was going to be
 
Why is Trump pacing around like he is about to walk into a fight? He is losing on the body language battle.
 
Reactions: BAK
Kwa mara ya kwanza Hillary amekuwa defensive!!!
(kwenye issue ya email)
 
Yaani hata spouses ni wastaarabu kuliko wagombea.....

Ila Melania...daaaah....ngoja nisiseme sana nisije itwa misogynist bure....πŸ˜€

Vipi ukimcheki Kim Kardashian....anaweza akakupa pointers.
 
Hii setting ya town hall is kind of hard for Trump.

He's not engaging much with the audience the way Hillary does. He seems out of place.
 
Michepuko ya Bill Clinton ndani ya nyumba....

Ila Bill naye bana...yaani ikija kwenye kuchagua michepuko yuko hovyo kabisa.

Katika michepuko yake yote inayojulikana Monica nadhani ndo yuko vizuri kidogoπŸ˜€

Yaani hata spouses ni wastaarabu kuliko wagombea.....

Ila Melania...daaaah....ngoja nisiseme sana nisije itwa misogynist bure....πŸ˜€

Vipi ukimcheki Kim Kardashian....anaweza akakupa pointers.
Mkuu.
 
Bill kweli aliita Obamacare craziest thing in the world....Bubba naye bana...saa ingine huwa anaropoka ropoka tu.

But he gets a pass...he is in his dotage...
 
Ila ukweli Trump hana solutions na matatizo ya wamarekani. Anachojua ni kulaumu tu. Hana tofauti na wa kwetu.
 
Reactions: kui
Hii setting ya town hall is kind of hard for Trump.

He's not engaging much with the audience the way Hillary does. He seems out of place.

Ni kweli Trump anamshambulia Hillary badala ya kujibu hoja.
 
Reactions: kui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…