Teh! teh, October surprise indeed..lol!
Naona kama wameliwa timing hawa. Halafu huyo mwanamke aliyekuwa anamuongelea hivyo ni mke wa mtu. Haki Trump!
Naona Republicans wamefura, Romney na Bush W. wametoa neno.
Yeah! I know imagine his beautiful daughter Ivanka listening to her father using this kind of language. The wanna be next POTUS!
Nimeona hiyo ya akina Bush na Romney. Sijui kama GOP wataweza kumtosa na kusema huyu si mgombea wa chama chao na hivyo uchaguzi wa 2016 GOP hawana mgombea wa Urais. Ngoja tusubiri tuone maamuzi yao. Halafu kesho walikuwa wawe pamoja na Paul Ryan katika moja ya events za GOP. Sijui kama Ryan atakubali wawe pamoja naye.
Ana Navaro republican kutoka Florida amesema sasa hivi kwamba ni bora tu Trump atangaze kutogombea tena Urais wa Marekani.
Nimeona hiyo ya akina Bush na Romney. Sijui kama GOP wataweza kumtosa na kusema huyu si mgombea wa chama chao na hivyo uchaguzi wa 2016 GOP hawana mgombea wa Urais. Ngoja tusubiri tuone maamuzi yao. Halafu kesho walikuwa wawe pamoja na Paul Ryan katika moja ya events za GOP. Sijui kama Ryan atakubali wawe pamoja naye.
Just in...Speaker Ryan just cancelled his event with Trump tomorrow in Wisconsin...Kimenuka!
Hivi Billy Bush kumbe ni cousin yao, I thought it was just a common name.
By the way, Trump nae ame cancel event ya kesho, Pence kumuwakilisha.
Hata mimi nilidhani ni jina tu. Shughuli ni ya Paul Ryan ambaye ndiye ametamka kwamba Trump hatakuwepo sasa mwenye shughuli yake anakwambia kiutu uzima sitaki uje kwenye shughuli yangu inakuwaje tena wewe mualikwa uifute hiyo shughuli!? Makubwa haya. Naona bado wako kwenye mjadala mzito sana na wapambe wake pale Trump Tower New York kama atokee hadharani kuja kuomba samahani au apotezee tu.
Ameshaongea ujue kuhusu hii tape na akamalizia, "I apologize if anyone is offended."
Kuna watu wanaamini tokea mwanzo alikuwa ni pandikizi la Hillary ili bi mkubwa awe na mteremko.Trump anajimaliza mwenyewe. Pamoja na kauli nyingi zenye utata amefanya vizuri kwenye polls. Lakini mara hii sidhani...