Heheh!, eti over prepared.
Halafu naona next round he might go low, kama ulivyosema. Yesterday he mentioned about holding back some things about Clintons because he 'respects' Chelsea, and then may be, will let it out in the next one.
Amejeruhiwa, atarudi kama mbogo.
Asijaribu kabisa,yule mama kajiandaa zaidi kwa yule bully Trump tuliyekuwa tunamjua wakati ule wa debate za Republican sio huyu wa jana asiyetukana na nina uhakika Trump kishaambiwa don't go there maana atawekwa panapotakiwa,Trump kisha fanyiwa kazi na big data analytics hana pa kutokeaNafikiri sasa hivi kwenye kambi yao wamechanganyikiwa. Kuna baadhi bila shaka wanataka awalete akina Gennifer Flowers na Monica Lewinsky na wengine wakipinga lakini mwenye final say ni Trump. Ngoja tusubiri tuone watachukua muelekeo upi, lakini kama hatukuwaona au kuwasikia kwenye debate ya pili kisha afanye vibaya tena basi nadhani hata kabla ya debate ya tatu ataanza kuwatumia kwa fujo sana maana kupigwa chini katika debate mbili mfululizo na siku ndiyo zinazidi kuyoyoma lazima uje kiCOMMANDO ati!
Nafikiri sasa hivi kwenye kambi yao wamechanganyikiwa. Kuna baadhi bila shaka wanataka awalete akina Gennifer Flowers na Monica Lewinsky na wengine wakipinga lakini mwenye final say ni Trump. Ngoja tusubiri tuone watachukua muelekeo upi, lakini kama hatukuwaona au kuwasikia kwenye debate ya pili kisha afanye vibaya tena basi nadhani hata kabla ya debate ya tatu ataanza kuwatumia kwa fujo sana maana kupigwa chini katika debate mbili mfululizo na siku ndiyo zinazidi kuyoyoma lazima uje kiCOMMANDO ati!
Lol... but i have an illation that Trump will decimate hillary in next debates after heavy blow to hillary in economic issue we saw in tuesday's debate.THANK YOU!
Lol... but i have an illation that Trump will decimate hillary in next debates after heavy blow to hillary in economic issue we saw in tuesday's debate.
Tehe teh!, I can imagine ki Commando ya Trump. Itakuwa fujo tu, lakini akichemsha ataula.
Au pia anaweza kuingia mitini kwa kisingizio kwamba kuna upendeleo kwa Hillary. Baadhi ya wapambe wake wameshaanza kuongelea kuhusu kuingia mitini.
Giuliani: I'd skip next debates if I were Trump
Au pia anaweza kuingia mitini kwa kisingizio kwamba kuna upendeleo kwa Hillary. Baadhi ya wapambe wake wameshaanza kuongelea kuhusu kuingia mitini.
Giuliani: I'd skip next debates if I were Trump
Huyu Giuliani anataka kumponza mwenzie, nimeona ana suggest pia Trump should' ve brought up the Lewinsky issue.
Baadhi ya GOP watakuwa wameboreka sana na performance yake.
Trump si wa kwanza kuchemsha kwenye debate, kuna waliochemsha and were able to have a strong comeback. Swali ni, will he have a strong or a commandoo like comeback?!
Nimeiona hiyo pia. Mambo ya Monica yalitokea more than 20 years ago hayahusu kitu kwenye kampeni za 2016. Ni dalili ya kushindwa sasa wanaanza kuhaha wakitafuta washike wapi. Kuna kambi mbili ndani ya Trump camp zinazopingana kuhusu kuwatumia Gennifer Flowers na Monica Lewinsky. Hao ambao wanataka kuwatumia hawa wadada wameshaanza kuongea hadharani wakati wale wanaopinga wanafanya hivyo nyuma ya pazia. Sijui ni kundi lipi litaibuka kidedea kuhusu kuwatumia hawa au la.
Kwa maoni yangu wakiwaleta hawa Hillary akiwa makini anaweza kujizolea point nyingi sana. Kwa kuadmit mapungufu ya mumewe na kwamba alishamuomba samahani miaka zaidi ya 20 iliyopita na they are still in love na hao Gennifer Flowers na Monica Lewinsky hawahusu chochote katika ndoa yao ya zaidi ya miaka 40 sasa.
Naona kama watachemsha wakileta hii?
In any election, I think voters want to hear key issues and solutions to problems that's facing a country, and not about who slept with who 100 yrs ago.
Lakini na issues zake na wake zake na anavyo belittle wanawake zinaweza fufuliwa pia.
2016 US Elections
You're 100% right Kui, that will be a huge mistake and will destroy Trump's chances for good. I hope the voices of those who are against this strategy will prevail otherwise the famous quote, 'Desperate times call for desperate measures." will show its ugly face.
Hongera mleta post, waliofuatilia mchango wako wamefaidika, na wengine tumefunuka, ila nakubaliana na wengi humu, wanachama wengi wa (R) hasa GOP, wamekosa fursa kubwa kuchukuwa nchi, labda walikuwa hawana candidates wa ukweli au Trump amewa trump wote, ushindi kwa (D) naona umekuwa dhahiri zaidi hasa baada ya nasi kuona debate yao ya kwanza, jamaa-Trump ni mdhalilishaji wa watu wa kike, of colour, maskini na wa kawaida, yaonekana haijuwi dunia nyingine zaidi anayoishi, ubabe na majigambo, pia hili swala la kodi, laonekana litamyumbisha sana, najiuliza yale majigambo kwenye reality tv yake yalikuwa kanyabwoya au?! Anakiri kabisa kuwa yeye mjanja kwa kukwepa kodi! Sasa kwa wananchi wa kawaida labda waweza sema hivyo lakini sio unapotaka kuwa raisi, pia yaonekana kule kumkatisha katisha Clinton kwa maneno kama wrong au kukatisha tu sentensi za mwenzake yaonekana huyu bwana hakuwa prepared na kuna mashaka mashaka na data alizopewa, kifupi hata data na research za nchi anayotaka endesha haijuwi...well done