Nyoso ikifika febuary 2 ukiweza uje unipe mbinu na mimi nina miaka 3 najaribu kuacha huo mchezo nashindwaaNimejitafakari sana na kuona nahitaji mabadiliko.
Nilianza punyeto mwaka 2005 na mwaka huu mwezi wa nane nilikuwa nafikisha anniversary ya miaka 10 (decade) ya upigaji punyeto.
Nimekuwa nikisikia punyeto ina madhara, namshukuru Mungu sijapata hayo madhara maana jogoo wangu yupo imara na kina dada ninawapa dozi stahiki. Kama madhara basi ni kuchelewa kupiga bao kwakuwa nimezoea mkono mgumu lakini mbunye ni laini japo kwangu sioni kama ni madhara kwani imenifanya niwe namfikisha mpenzi wangu.
Baada ya hiyo miaka kumi (decade) ya Punyeto hivi sasa nasema bye bye Punyeto, hatutaonana tena. 2016 ni mwaka wa kuacha punyeto na 2017 ni mwaka wa kuoa.
Utawala huu wa Magufuli huko ofisini kwa moto hata hamu ya kupiga punyeto sina tena.
Mungu ni mwema
Mkuu nithibitishie hili kama ni kweli,alifumwa au alilitamka mwenyewe waziwazi!!??Haha nyeto ina wanachama mpaka Vatican ,Papa mwenyewe anajisugua ,kuacha unafanya dhambi Nyosso
Alitamka mwenyewe wazi wazi Mkuu ,Mkuu nithibitishie hili kama ni kweli,alifumwa au alilitamka mwenyewe waziwazi!!??
Aiseee... bac noma sana kama kweliAlitamka mwenyewe wazi wazi Mkuu ,
Pope Declares Fornication No Longer A SinAiseee... bac noma sana kama kweli
Duh aisee!! lakini nimeona haraka haraka comment za mwanzo wameipinga hiyo.Pope Declares Fornication No Longer A Sin
Pitia hapo mkuu ndio maana nikamwambia mdau nyeto sio dhambi
Wanao pinga watajua wenyewe anachofurahia pope ni wet dream yake akiwa na umri wa miaka 78 kwa kukaa takribani miaka 65 bila nyeto mpaka akaamua kusema sio dhambi unafanya mchezo ?? Mwenyewe kakiri maumivu ya mgongo aliyokua nayo yameisha na ashajua atakua anafanya nini akiwa mwenyewe ,Duh aisee!! lakini nimeona haraka haraka comment za mwanzo wameipinga hiyo.
Hahahahah muda wote kumbe ulikuw unatafuta legality ya kufanya hiyo mambo ili kale kanafsi kanakokusutuga kaache, haya bana mkuu.Wanao pinga watajua wenyewe anachofurahia pope ni wet dream yake akiwa na umri wa miaka 78 kwa kukaa takribani miaka 65 bila nyeto mpaka akaamua kusema sio dhambi unafanya mchezo ?? Mwenyewe kakiri maumivu ya mgongo aliyokua nayo yameisha na ashajua atakua anafanya nini akiwa mwenyewe ,
Nyeto na iheshimiwe tu
Hahaha mkuu lazima katika kila sheria au katazo kuna loop hole sehemu ,ushaangalia series ya how i met your mother ?? Basi ukikutana na chizi kama Barney steincen na laws/ rules zake ,utaelewa tu kwanini napigania hili swalaHahahahah muda wote kumbe ulikuw unatafuta legality ya kufanya hiyo mambo ili kale kanafsi kanakokusutuga kaache, haya bana mkuu.
mbna unatumia msamiati huo huo wa kuacha labda useme mwaka huu napumzikaKwa miaka kumi mfululizo nilikuwa nikisema naacha naacha lakini huwa nashindwa ila mwaka huu NAACHA
Kama unaona lishakuw blessed by pope ambaye unamwamin sijui kama kuna mwingine wa kuchange mind set yako kwenye hili swalaHahaha mkuu lazima katika kila sheria au katazo kuna loop hole sehemu ,ushaangalia series ya how i met your mother ?? Basi ukikutana na chizi kama Barney steincen na laws/ rules zake ,utaelewa tu kwanini napigania hili swala
Kama unaona lishakuw blessed by pope ambaye unamwamin sijui kama kuna mwingine wa kuchange mind set yako kwenye hili swala
Yah sure!!! ila hili swala wajuvi ni wengi tuHaha mkuu mimi simwamini pope ,namwamini Mungu na kutenda kwa jirani yangu kama navyopenda mimi kutendewa ,period ,hayo mengine tuwaachie wanadamu