johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,695
CCM imepata uongozi mpya pamoja na sekretarieti. Halikadhalika iko katika hatua muhimu za kurekebisha muundo wa chama ikiwemo kupunguza idadi ya wajumbe wa NEC, haya ni mafanikio makubwa.
UKAWA wao wako busy kushughulika na lipumba ambaye amerejea chamani akiwa na mtazamo tofauti kabisa. Lakini nguvu ya Lowassa imewameza kabisa UKAWA maana hata kule CHADEMA huwezi kumjua Mwenyekiti wala Katibu Mkuu wote wamefunikwa.
NCCR ni kama vile wanagawana mbao wakati CUF wao ni bara na pwani. Sipati picha siku ambayo kwa ghafla Edward Lowassa atarejea CCM, sijui hali itakuwaje maana siku hiyo ipo na inakuja.
Mwenye macho haambiwi tazama.