2016 mwaka wa kihistoria, CCM yaimarika na UKAWA majanga

Hata kufanya vikao vyenu Ikulu pia inaonyesha dhairi chama kilivo imarika.
 
Kwahiyo ndo usidanganye kuwa chama kimebadilika thats insanity.
Afu pia huwezi sema UKAWA imeshuka wakati mmeifunga kamba isifanye shughuli zake hiyo sio fair ground trust me kma mngeruhusu mikutano ya uhamasishaji ya vyama vya siasa by now popularity ya chama chenu ingekuwa at 20% trust me. Maana kiukweli watanzania hawana imani na ccm sema wachache at least walikuwa na hope kwa magu ila kwa mambo yanavyoenda atasababisha uchaguxi wa 2020 kuwa mgumu kwenu chama cha kijani
 
Mkuu Magimbi kama mwenyekiti ameweza kuipasua Nec katikati basi hakuna litakalomshinda.Watoa rushwa ni wale waliokuwa wanaamini ktk "mtu" siyo chama,sasa siasa hizi za kiswahili Magufuli anazisambaratisha.Amini maneno yangu CCM inaenda kuzaliwa upya hizo changamoto za uchaguzi wa 2017 tayari kina HP wameanza kuzishughulikia.
Isifikirie NeC ndio mashinani mheshimiwa..wewe unaijua CCM kwa juu juu. Huku kwenye grassroots wanajua kiongozi bora ni yule mwenye kuhonga alipwe kura. Ndio maana viongozi wetu wengi ni wafanyabiashara wenye weledi na ELIMU ya kuunga kuunga au hawana kabisa ni kusoma na kuandika. Wapiga kura nao wana ELIMU ya vile vile wengi tunaowategemea ni kina mama masikini wasio na uwezo wanaotegemea hongo takirima. Subiria uchaguzi unakuja utayaona haya ninayoyasema mwenzio ni mkongwe. Na kama hakuna rushwa kupewa wapiga kura nakuhakikishia turnout itakuwa ndogo saana kabisaa..mark my words..
 
CCM imepata uongozi mpya pamoja na sekretarieti. Halikadhalika iko katika hatua muhimu za kurekebisha muundo wa chama ikiwemo kupunguza idadi ya wajumbe wa NEC, haya ni mafanikio makubwa.

UKAWA wao wako busy kushughulika na lipumba ambaye amerejea chamani akiwa na mtazamo tofauti kabisa. Lakini nguvu ya Lowassa imewameza kabisa UKAWA maana hata kule CHADEMA huwezi kumjua Mwenyekiti wala Katibu Mkuu wote wamefunikwa.

NCCR ni kama vile wanagawana mbao wakati CUF wao ni bara na pwani. Sipati picha siku ambayo kwa ghafla Edward Lowassa atarejea CCM, sijui hali itakuwaje maana siku hiyo ipo na inakuja.

Mwenye macho haambiwi tazama.
Well said
 
Mleta mada hajielewi,
Katika ukandamizaji na uvunjifu wa katiba kwa kiwango kikubwa hivi unasema et Fulani kaimarika!?!!
Watanzania bwana
 
kipimo cha chama kuimarika ni kubadilisha viongozi wanne tu wa kitaifa? kipimio cha chama kuimarika ni hicho tu. Hakuna wakati ambao CCM imepauka kama sasa maana kimekuwa chama cha msimu kinaogopa kucheza mechi kwa dakika zote 90 badala yake kinataka mechi ianze dakika ya 85 huku refa ni wa kwao lakini bado waogaaaa.
 
Inaonekana Lowassa anawapasua kichwa sana, umeanza na ccm imepata viongozi wapya, Mara wanabadilisha muundo wa sekretarieti, tena kimeimalika, nimebaki nashangaa, mara Lipumba kaja na muonekano mpya, NCCR wabagawana mbao, duh aiseeh ebu kanye uchambe uje tena tukuelewe.
 
Ushabiki mwingine ni aibu kwa taifa. Ccm imepiga marufuku vyama vingine kifanya siasa bado MTU anakuja JF kusema CCM iko juu ya vyama vingine. Kuwa MTU mweusi wa CCM ni laana ya aina yake
Kuna brainwashing CCM inafamyia wanachama na wapenzi wake ?
 
Sio brnainwashing,we call it propaganda!ukweli unajulikana!
 
CCM hii na mwenyekiti wenu WA Chama oneni aibu
8667a59df6be265abb2c7a9a4f85fad8.jpg
 
Mkuu Magimbi kama mwenyekiti ameweza kuipasua Nec katikati basi hakuna litakalomshinda.Watoa rushwa ni wale waliokuwa wanaamini ktk "mtu" siyo chama,sasa siasa hizi za kiswahili Magufuli anazisambaratisha.Amini maneno yangu CCM inaenda kuzaliwa upya hizo changamoto za uchaguzi wa 2017 tayari kina HP wameanza kuzishughulikia.
Kaka unazungumzia ngazi ya mbali sana kimaamuzi. Mi ninaouzoefu na Chama chetu ngazi ya mwanachama wa kawaida kabisaa. Hawa wameshaaminishwa kuwa uongozi unapatikana kwa kupewa rushwa. Na kiongozi bora ni yule anayetoa..hayo maagizo ya Mwenyekiti na Katibu mwenezi kwanza hayawafikii kabisa kwa sababu hawaji kwenye vikao na vikao mashinani hawahudhurii. Hawa wanachama wengi hawalipii hata kadi zao wanasubiria kipindi cha uchaguzi wagombea ndio huwalipia kadi wapate sifa ya kupiga kura na hongo kidogo ili wampigie kura. Kama hili halijaangaliwa kwa umakini kupiga vita rushwa kwa magazeti tu na hutuba wanachama wetu hawaelewi. Nakuhakikishia mwakani wapiga kura watakuwa wachache mno kama rushwa itadhibitiwa. Tulianzisha TABIA mbaya sana kwa wanachama wetu kama Chama Dola ambayo hatuwezi kuifuta kwa usiku mmoja tu.

Mfano mwingine wanachama wapya wanaongezeka sana sana kipindi karibu na chaguzi za viongozi au chaguzi za ndani kupata nafasi za uwakilishi katika Bunge au Udiwani. Kama hata haya maelezo yangu hujanielewa kwa kuoanisha na hali ya Chama kilivyo basi kaa na IMANI kuwa JPM au HP wataondoka rushwa ndani ya Chama hasa katika ngazi ya chini kabisa ya chama. Kwa ufupi hawa wote hawana uzoefu wa chaguzi za mashinani (grassroots) bali shabaha yao ya rushwa ni ngazi za juu sana. Kazi bado kubwa kuwafundisha mbwa wazee mbinu mpya za uwindaji (RUSHWA). Tumuombee labda hiyo CC itaweza..:rolleyes:o_O
 
Umenena kweli mkuu
 
CCM imepata uongozi mpya pamoja na sekretarieti. Halikadhalika iko katika hatua muhimu za kurekebisha muundo wa chama ikiwemo kupunguza idadi ya wajumbe wa NEC, haya ni mafanikio makubwa.

UKAWA wao wako busy kushughulika na lipumba ambaye amerejea chamani akiwa na mtazamo tofauti kabisa. Lakini nguvu ya Lowassa imewameza kabisa UKAWA maana hata kule CHADEMA huwezi kumjua Mwenyekiti wala Katibu Mkuu wote wamefunikwa.

NCCR ni kama vile wanagawana mbao wakati CUF wao ni bara na pwani. Sipati picha siku ambayo kwa ghafla Edward Lowassa atarejea CCM, sijui hali itakuwaje maana siku hiyo ipo na inakuja.

Mwenye macho haambiwi tazama.

Kama unafikiri ccm imeimarika basi hufanyi uchungzi kabisa.. ccm imebomoka sana kutokana na uendeshaji wa mambo kinyume cha kanuni na sheria za nchi hata chama
 
Back
Top Bottom