2016-2017 Makusanyo ya kodi Kenya $236 Tanzania $126 kwa mtu

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Tanzania Bado sana makusanyo yetu ni $126 Kwa mtu na Kenya $236 kwa mtu kwa mwaka 2016-2017. Kenya idadi ya watu 47 na Tanzania 52. Makusanyo Kenya $11M na Tanzania $6.5M . Tunaitaji kupunguza vizuizi vya biashara
 
Back
Top Bottom