2015 yako ilikuaje,lets share,2016 umejipangaje

Huuuu mwaka huuuu mmmmh alicho kipanga shetani kimeshindwa kwa jina LA YESU,ooooooooh haleluya kwa MUNGU hakuna kinachoshindikana ukimtumaini na kumtegemea yangu yamekamilika kwa %91 ASANTE YESU👏
 
Ahsante Mungu huu mwaka nimemaliza masomo yangu salama kwani kuna tuliokua nao na wakarudi nyumbani katika hii safari.Kwa upande wa mahusiano haukuwa mzuri at all but najua Mungu anamakusudi yake.2016 naomba Mungu anijaalie nipate kazi.Nikifanikiwa hilo nadhani mambo mengine pia yataninyookea kimaisha na kimahusiano namuachia Allah aniongoze coz najua yeye anajua na ni mbora kuliko vyote.Inshaallah
 
Huu mwaka umenichangamotoa aisee, sijapata kuona...Ngoja tuangalie huo unaokuja....la Muhimu nikuomba Uhai tu.
 
Mahusiano ndo yana mushkeli kwa wengi, ila hili ni tatizo la dunia
 

Hongera Sumbai, tunasubiri mchele tuje tusherekee
 
Kwangu mimi mwaka haukuwa mzuri kabisa. Mipango yangu mingi haikufanikiwa. Namshukuru Mungu tu kwa kunipa uhai na nguvu. Nina imani mwakani 2016 utakuwa mzurikwangu.
 

Aaaaashiiii asante kwa jinsi ulivyoflow umekonga moyo wangu, Mungu akubariki ndoto zako zitatimia!!!
 
Nina kila sababu ya kumshukuru MUNGU. Ameniepusha na majanga mingi sana mwaka huu.
 
Mahusiano ndo yana mushkeli kwa wengi, ila hili ni tatizo la dunia
My kaka nilikuwa nataka nikusalimie tu teh, ile nimeghairi hadi February. Maana sasa hivi mtu akisalimiwa tu anahisi anapigwa kizinga cha sikukuu [emoji23] [emoji23]
 
My kaka nilikuwa nataka nikusalimie tu teh, ile nimeghairi hadi February. Maana sasa hivi mtu akisalimiwa tu anahisi anapigwa kizinga cha sikukuu [emoji23] [emoji23]

Ahaaa haaaaaa.....
We ni mtumishi bwanaaa...haupigi vizinga...
 

Pole,
Mungu ni mwema, mwaka 2016...
 
Mwaka huu ulikua na changamoto nyingi sana kwangu japokua nashukuru nimefanikiwa kuzitatua kwa uwezo wa Mungu. Nategemegemea 2016 utakua mwaka wenye mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…